Baada ya matokeo ya Igunga, CUF itoe tamko rasmi kwa wanachama wake

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Chama cha Wananchi CUF, kinawiwa na wanachama wake tamko mahsusi kuwa ni nini hatma yake kwa sasa. Uchaguzi wa Igunga unafanyika katika mkoa ambao anatokea mwenyekiti wa chama, pamoja na mbunge wake wa viti maalumu. Kwa nguvu waliyoiweka CUF ikiwemo kumleta makamu wa raisi wa SMZ, wabunge, viongozi waandamizi na bila kusahau kutumia helicopter, naamini matokeo ya leo is the best thay can expect kwa uchaguzi wowote utakaofanyika Tanzania bara.

Vipo vyama vilivyowahi kuvuma na kuporomoka kikiwemo NCCR-mageuzi. Tofauti na CUF, sababu za kuporomoka kwa vyama hivi ilikuwa wazi, hususani migogoro ya uongozi na ukata. Ila kwa CUF, sababu ya kuporomoka kwake haiko wazi; uongozi ni ule ule, ruzuku imeongezeka, tena wamepewa na sehemu ya serikali kule Zanzibar. Tulitegemea CUF kionyeshe kuaminika zaidi na wananchi, hivyo kiwe chama kikuu cha upinzani!!!

Sio siri, ni halali yao wanachama na wapenzi wote wa CUF kupata maelezo ya kina, ni kwa nini chama hakifanyi vizuri...

Kwa heshima na taadhima, namwomba ndugu Julius Mtatiro pia atoe maoni yake juu ya matokeo ya Igunga, na juu ya mustakabali wake kisiasa. (Ingekuwa heri leo asikie sauti ya wananchi, asifanye mgumu moyo wake).
 
Chama cha Wananchi CUF, kinawiwa na wanachama wake tamko mahsusi kuwa ni nini hatma yake kwa sasa. Uchaguzi wa Igunga unafanyika katika mkoa ambao anatokea mwenyekiti wa chama, pamoja na mbunge wake wa viti maalumu. Kwa nguvu waliyoiweka CUF ikiwemo kumleta makamu wa raisi wa SMZ, wabunge, viongozi waandamizi na bila kusahau kutumia helicopter, naamini matokeo ya leo is the best thay can expect kwa uchaguzi wowote utakaofanyika Tanzania bara.

Vipo vyama vilivyowahi kuvuma na kuporomoka kikiwemo NCCR-mageuzi. Tofauti na CUF, sababu za kuporomoka kwa vyama hivi ilikuwa wazi, hususani migogoro ya uongozi na ukata. Ila kwa CUF, sababu ya kuporomoka kwake haiko wazi; uongozi ni ule ule, ruzuku imeongezeka, tena wamepewa na sehemu ya serikali kule Zanzibar. Tulitegemea CUF kionyeshe kuaminika zaidi na wananchi, hivyo kiwe chama kikuu cha upinzani!!!

Sio siri, ni halali yao wanachama na wapenzi wote wa CUF kupata maelezo ya kina, ni kwa nini chama hakifanyi vizuri...
Hapo kwenye red sababu ya kufa CUF ni kosa lao la kuolewa na CCM kule Zenji na wabunge wake kukana bungeni kuwa wao sio wapinzani.
 
Umeandika hii article bila ya uchambuzi wa ukweli. CUF ina mafanikio zaidi ktk vyama vya upinzani. Angalia Wabunge waliokuwa nao, na sasa hivi wanayr Makamu wa Rais.

Sasa huoni kama hiyo ni progress?
 
Kila kosa lina adhabu yake, na kisisasa kosa lake hupatiwa adhabu kisiasa pia. Kosa ambalo cuf walifanya ni la kukubali kuwa sehemu ya chama cha mapinduzi na matunda yake ni haya.

CCM wanapaswa kufahamu pia kwamba, kwa vyovyote vile kuhusisha cdm na udini, ukristo, haiwezi kuwa silaha kwao. udini walioipakazia cuf uliflishindwa z'bar na bara wala hatukuwasikiliza. Kwa mtu yeyote mwnyw akili, asingetegemea cuf kubehave wanavyofanya sasa bungeni dodoma. tutaendelea kutoa adhabu mpaka mwisho wa dahari.

Ktk suala la udini, kwa kweli ccm wasahau, kwani vijana wengi wanajua ugumu wao wa maisha hauna uhusiano na wanaojitahidi kuusemea kwetu watz.

2015 hiyoooooooooo karibu na bakora tutawalambahawa magamba!
 
Chama cha Wananchi CUF, kinawiwa na wanachama wake tamko mahsusi kuwa ni nini hatma yake kwa sasa. Uchaguzi wa Igunga unafanyika katika mkoa ambao anatokea mwenyekiti wa chama, pamoja na mbunge wake wa viti maalumu. Kwa nguvu waliyoiweka CUF ikiwemo kumleta makamu wa raisi wa SMZ, wabunge, viongozi waandamizi na bila kusahau kutumia helicopter, naamini matokeo ya leo is the best thay can expect kwa uchaguzi wowote utakaofanyika Tanzania bara.

Vipo vyama vilivyowahi kuvuma na kuporomoka kikiwemo NCCR-mageuzi. Tofauti na CUF, sababu za kuporomoka kwa vyama hivi ilikuwa wazi, hususani migogoro ya uongozi na ukata. Ila kwa CUF, sababu ya kuporomoka kwake haiko wazi; uongozi ni ule ule, ruzuku imeongezeka, tena wamepewa na sehemu ya serikali kule Zanzibar. Tulitegemea CUF kionyeshe kuaminika zaidi na wananchi, hivyo kiwe chama kikuu cha upinzani!!!

Sio siri, ni halali yao wanachama na wapenzi wote wa CUF kupata maelezo ya kina, ni kwa nini chama hakifanyi vizuri...

Hili linahitaji tafakari zaidi ni vizuri umewakumbusha
 
Umeandika hii article bila ya uchambuzi wa ukweli. CUF ina mafanikio zaidi ktk vyama vya upinzani. Angalia Wabunge waliokuwa nao, na sasa hivi wanayr Makamu wa Rais.

Sasa huoni kama hiyo ni progress?

Mkuu angalia vizuri memory ya kichwa chako, mi nahisi haiko ok
 
regina mwalekwa katika mahojiano dk chache zilizopta, chadema yaongoza
Source.clauz radio
 
Umeandika hii article bila ya uchambuzi wa ukweli. CUF ina mafanikio zaidi ktk vyama vya upinzani. Angalia Wabunge waliokuwa nao, na sasa hivi wanayr Makamu wa Rais.

Sasa huoni kama hiyo ni progress?

Nikiangalia wabunge waliokuwa nao wa kuchaguliwa, wote kasoro mmoja ni wazanzibar. Sio kwamba nawatenga wazanzibari, bali naomba kukumbusha kuwa progress ya chama ni pamoja na jumla ya wananchi wanaokiunga mkono nchi nzima. Unafikiri ukijumlisha kura zote walizopigiwa wabunge wa CUF na walizopigiwa wabunge wa CHADEMA 2010, zinafanana? Unaikumbuka CUF ya 2000-2005? Unakumbuka CUF ilipata kura ngapi 2005? Unakumbuka imepata ngapi 2010?
 
Mimi nilidhani uko ndo kungekuwa ngome yao!

Ilikuwa ngome yao mkuu (kwa maana ya upinzani), kama ukikumbuka matokeo ya uraisi mwaka 1995, 2000 na 2005. Watuambie nini kimetokea sasa. Kama ni kutimiliwa kocha, atimuliwe...
 
Umeandika hii article bila ya uchambuzi wa ukweli. CUF ina mafanikio zaidi ktk vyama vya upinzani. Angalia Wabunge waliokuwa nao, na sasa hivi wanayr Makamu wa Rais.

Sasa huoni kama hiyo ni progress?
Naamini umeacha account yako ya JF wazi mtoto wako wa chekechea ndo kaandika huu ufyenze.
 
Tatizo sio udini,,CUF ina matatizo mengi sana ya kiuongozi tofauti na watu wanavyodhani,,kuna udhaifu wa kimfumo,kimkakati na mengine mengi tu!hili linahitaji mjadala mpana sana na wala tusikimbilie kwenye udini.
 
nimependa sana mkumbusho wako kwa CUF

Kinachonisikitisha ni kuwa kuna wenzetu (kwa maana wapinzani, wapambanaji) ambao bado wanajiaminisha kuwa CUF ni sehemu ya kuwepo. Please, R. Hamad, Jusa, Mtatiro, sikieni sauti ya wananchi mtumie vipaji mlivyopewa na Mungu kuikomboa Tanzania. Cuf kama ni basi, limeshabadili mwelekeo, halielekei tena ukombozini, linaelekea udhalimuni...
 
Kama ni ubishi tu kwa maana ya kubishana kijinga sawa,kweli CUF hawana cha kujiuluza lakini bado hainiingii akilini kama inafika mahali wanapata kura 1, 2, 4 na mahali pengine wanapata 0 na walisema wana mtaji hapo kidogo napata mashaka uwezo wao wa kutakari mambo,walipashwa wafuatilie kwa makini matokeo yanayoendelea kutangazwa.

Kipimo kingine cha kupima nguvu ya chadema na jinsi watu walivyokikubali Igunga ni pale CCM wakiongozwa na Ben Mkapa mahali alipozindulia kampeni na alipofungia kampeni utaona kwamba chadema imeongoza ukijumlisha kura na ukatafuta difference, hiki ni kipimo kikubwa cha kupima capacity ya chadema,sasa hawa CCM B-CUF wanafikia hatua ya kupata kura 1 wakilingana na chama cha chausiku sijui chau mtanisaidia sikijui hata jina na wao ndio mke mkubwa wa CCM wanapata picha gani?
Ngoja tusubiri matokeo yakamilike
 
Back
Top Bottom