Baada ya matanuzi last week sasa Beno Malisa anawapeleka South Africa

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Wana JF

Nimepata habari hizi na nimebakia nashangaa ila nikaona vyema ku share na nyie. Last week Ben Malisa alimaliza kozi yake pale Chuo cha Diplomasia na akaamua kupanga party ya kufa mtu pale Beach.

Lakini la ajabu ni kwamba alilipa kila kitu na kila mwanafunzi aliye kuwa darasa moja na yeye alipewa Tshs 50,000 yeye aliziita za mafuta ya gari kumwezesha kufika kwenye mnuso.

Hiyo haikutosha kesho kuwa Ijumaa anawapeleka wanafunzi wenzake eti kwa kushirikiana na Mtanzania mwenzake kule SA kwa siku 3 Mjini Jburg Kila kimelipiwa nikiwa na maana ya accommodation na B & B wanarudi Jpili toka.

Nimejiuliza kwamba kwa nini kachagua wanafunzi 20 pekee wanaume 10 na wadada 10 anaruka nao na kwa pesa ipi na yote haya ni kwa ajili ya nani ?

Kama kuna mwenye nyeti zaidi tafadhali tuendelee kupeana maana huu ni ufisadi huyu B Malisa anauleta kwa jina la ku graduate kozi yake na wenzake.Yeye ame sponsor kila kitu.

Je kuna nini hapa?
 
kwani ku-sponsor kila kitu ni ufisadi!!?? si katumia kipato chake mwenyewe!! au invoice inaenda kwa serikali!!???
 
Wana JF
Nimepata habari hizi na nimebakia nashangaa ila nikaona vyema ku share na nyie .Last week Ben Malisa alimaliza kozi yake pale Chuo cha Diplomasia na akaamua kupanga party ya kufa mtu pale Beach .Lakini la ajabu ni kwamba alilipa kila kitu na kila mwanafunzi aliye kuwa darasa moja na yeye alipewa Tshs 50,000 yeye aliziita za mafuta ya gari kumwezesha kufika kwenye mnuso .Hiyo haikutosha kesho kuwa Ijumaa anawapeleka wanafunzi wenzake eti kwa kushirikiana na Mtanzania mwenzake kule SA kwa siku 3 Mjini Jburg .Kila kimelipiwa nikiwa na maana ya accommodation na B & B wanarudi Jpili toka .Nimejiuliza kwamba kwa nini kachagua wanafunzi 20 pekee wanaume 10 na wadada 10 anaruka nao na kwa pesa ipi na yote haya ni kwa ajili ya nani ?

Kama kuna mwenye nyeti zaidi tafadhali tuendelee kupeana maana huu ni ufisadi huyu B Malisa anauleta kwa jina la ku graduate kozi yake na wenzake.Yeye ame sponsor kila kitu .Je kuna nini hapa ?

may god bless tanzania and deliver us from our sin of selfishness among leaders and young leaders.kama kweli BENO UMEFANYA HAYO NA KWA FEDHA YA HALALI ULIYOIPATA KIHALALI BASI UFURAHI NA NDUGU ZAKO.

ILA KAMA UMEIBA FEZA ZA WATANZANIA ,FEDHA ZA KINYONYAJI NA WATANZANIA WANATESEKA BASI MUNGU AKUPIGE KOFI ILI UWEZE KUMGEUKIA NA UWEZE KUURITHI UFALME WAKE.

NAJUA UPO HUMU JAMII FORUM NAUJUMBE HUU UTAUSOMA TUU UTAKE USITAKE HABARI NDO HIYO JIKANE NAFSI YAKO NA KINA RIDHIWANI WATAKUKOSESHA MBINGU ME NAKUJUA SANA WEWE HUKUWA HIVO HAPO NYUMA,...UBARIKIWE KWA KUSOMA UJUMBE HUUU....
 
Anatumia hela imzoee wewe utaishia kupiga umbeya tu jamvini. Tena umeandika kwa uchungu sana inaelekea alikunyima mwaliko bila shaka.
 
hiyo ni israaf angewasaidia yatima ningemwona wa maana bloodfool
 
hiyo ni israaf angewasaidia yatima ningemwona wa maana bloodfool
 
Malisa Benno si ndiye huyu mjumbe wa Bodi moja muhimu ktk utalii
unashangaa nini. labda ana kitalu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom