Baada ya Masanja Mkandamizaji sasa MC Pilipili naye awa mchungaji.

Mwili wa Bwana ni kama wa tembo kila mtu, anashika sehemu alipo! Wakushika mkonga, haya! Wa masikio, haya! Wa mkia, haya! Bora neno la wokovu lifikie wenye kuelemewa na mizigo.
 
Wafilipi 1:18 Yadhuru nini? Lakini kwa njia zote, ikiwa ni kwa hila, au ikiwa ni kwa kweli, Kristo anahubiriwa; na kwa hiyo nafurahi, naam, nami nitafurahi.
 
Back
Top Bottom