Ha
Hata kama hajatoa, ni nini alichoandika ambacho ni uongo?Masanja ametoa credit ya source ya picha?
Hata kama hajatoa, ni nini alichoandika ambacho ni uongo?Masanja ametoa credit ya source ya picha?
Na manyumbu kama kawaida yao bila kusoma wala kuelewa alichoandika Masanja, wamedandia trela. Kweli upumbaji nao ni mtaji.Hivi mleta mada na masanja nani muongo? Masanja katumia picha Kama kiwakilishi cha habari yake haku sema ndio pamefikia hapo au ndio penyewe
Ifikie kipindi muwe mnafikiria mambo vizuri sijui akili zenu mnapelekaga wapi yaani
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Paskali hii ni ID yako nyingine?Shida ni moja kwa Abbas, yeye sio mtaalamu na wala hana uelewa wowote na mambo ya uchumi, halafu anajibu maswali ya kiuchumi kichwa kichwa.
Yaani Abbas ameonyesha ni mweupe kichwani sijawahi kuona.
Mkuu,huyo uliyemuuliza "credit ya source ya picha" anaelewa kweli!?Masanja ametoa credit ya source ya picha?
Jamaa mmoja alitaka kuwa rubani lakini akaishia kuwa mfugaji wa kuku...anyway ndege ni ndege
Chief ukiangalia kwa umakini, hii picha si halisi (Wataalamu wa michoro, watakuja kufafanua zaidi wale wajuzi wa Arch CAD na mfano wake).
Huyu dada ni mkurupukaji tu kama viongozi wengi tu upinzani. Anajidadavua kama mwenyekiti wa BAVICHA TEMEKE.
Hapo Masanja kadanganya nini na wapi?
Hajasema imefikia hivyo lakini ukiangalia ile michoro yao, hivyo ndivyo bwawa litakavyoonekana.
Ukimuuliza huo umeme ukikamilika atapinga kuutumia? Siasa nyingine za kishenzi shezi tu.
Si aeleze mipango yao mbadala ya kutuletea umeme utakaokuwa na bei nafuu zaidi ya huo wa Rufiji?
Ila kwakuwa hakuna sera mbadala, kaamua amshambulie mtu binafsi.
Anadhani kila mtu anamfolo huyo masanja, mdau hajui kupangilia mada anakuja hapa kutupotezea mdaNenda ka screen shot na Post yake hapo taarifa haijakamilika mtu akiona hivyo anaelewa nini sasa ?
Kwanini asiweke picha za mradi halisi?Hajasema imefikia hivyo lakini ukiangalia ile michoro yao, hivyo ndivyo bwawa litakavyoonekana. Kaumbukaje?
Kwanini asiweke picha za mradi halisi?Sometimes ni kazi kumwelewa binadamu yukoje rafiki.
Masanja amepost picha na maelezo kidogo ambapo, hatujui anaelezea itakavyokuwa au vipi. Tayari tumeshanyanyuka naye kumparua.
ndio maana kuna renders pia, ili kufurahisha macho.Kwanini asiweke picha za mradi halisi?
Ameweka picha ambazo sio za mradi kwanini asiweke picha za mradi halisi?Ha
Hata kama hajatoa, ni nini alichoandika ambacho ni uongo?
Masanja ni mchungaji comedian fulani hivi mjini pia ni mkulima wa mpunga mwanachama wa ccm mtata fulani hivi. Mhamiaji kutoka Ludewa kwenda Rujewa kabila Mpangwa mmoja hivi wengi wanafikiri ni mnyakyusa si kweli asili yao ni Ludewa Njombe. Jina halisi Emmanuel Mgaya.Ndio nani huyo Masanja eleza vizuri sio kila mtu mjuajeaje nasi tunamjua.