Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,249
- 34,197
Na wewe unatakiwa utumie akili, wewe unadhani huyo rais alikua hajui kwamba bando linaongezeka? Alafu eti unakaa unamsifia daaah sijui ujinga utatuisha lini!!Samia safiiiiii...mama la mama safiiiii??
Nilijua tu, waziri wa teknolojia wa saivi ni wa hovyo kuwahi kutokea ...na sijui kwanini mama la mama amemuacha, ila nina imani na mama hii product ya kipuuzi ataitupilia mbali
Kwa kifupi ujue waziri hawezi kufanya maamuzi bila rais na makamu wake kujua!! Na mpaka waziri anafanya maamuzi jua ana baraka zote kutoka kwa rais. Acha kusifia upuuzi.