joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,037
Bora vilaza wa udom kuliko product za UDSM mkuu.sijui wa dizim ni viharaza?
"I assure and people of Tanzania "
Bora vilaza wa udom kuliko product za UDSM mkuu.sijui wa dizim ni viharaza?
Haya ni kati ya mawazo bora kabisa katika mada hii ubarikiwe mkuu.Kupongezana ni vizuri. Lakini ina maana gani kupongeza katika kitu ambacho huamini? kwa mfano, kama huamini katika uchaguzi huru na wa haki, pamoja na misingi ya usawa na uhuru wa watu kutoa maoni yao, unapompongeza Rais aliyechaguliwa katika nchi inayoheshimu misingi hiyo unakuwa na maana gani hasa? Wamarekani wametangaza mshindi wa uchaguzi jana. Leo watu wamemwagika mtaani kuandamana kupinga matokeo. Tunajua wazi kwamba hiyo ingetokea Tanzania, leo tungekuwa na misiba kila mahali. Badala ya kujifunzi mambo mazuri ambayo yatalifanya taifa letu kujenga mifumo ya haki na uhuru wa watu kutoa mawazo yao, tunajenga, kusimamia na kushabikia ujinga na mifumo ya kikandamizaji nainayozuia uhuru wa watu kutoa maoni yao. Tutaondoka lini katika mawazo haya ya karne ya 14?
Acha kumdhalilisha rais kwa kusema anaongea lugha za mtaani. Rais kama rais na pindi anapoongea na taifa hapaswi kutumia lugha za mtaani. Na udhaifu huu upo sehemu nyingi sana kama bungeni nk ili mtu kuonyesha ni msomi. Lakini kiukweli watu hao na huyo unayemtetea hawana uwezo wa kuzungumza lugha hiyo ya kiingereza kwa ufasaha. Hili liko wazi na wala sio kudhalilishana kama unavyodhania.
wewe hata kiswahili unatatizo nacho ktk muda wote wa kukaa shule neno luga uliliona wapi sahihi ni lugha mkuu,
Pia wakati unajiuliza jua english hapa nchini ni lugha rasmi kumbe usilete excuse zozote
Mtu anayeamini kwamba kiingereza ni lugha ya watu wengine na si lazima kuielewa, wakati huo huo anaitumia kuwasailiana na watu wengine, Mimi nakuwa hata simwelewi...
badala yake tuongee kichina sio eeeh!
Mwl aliyekufundisha kamwambie ulinifundisha kukariri na siyo kuelewa...
Pole yetu then...Tanzania kuna elimu au ni kukariri tu, umeona wapi wasomi wote wanakimbilia kuajiriwa tu, na wakikosa ajira ndio mwanzo wa kuchanganyikiwa
andika vizuri mkuu hufanani na jina ulilojipa wenye jina hilo lugha ya kiswahili haiwapi tabu kuandika kama wewe eti "luga"We unadhani ni nini?
Ni perfume nzuri lol!
andika vizuri mkuu hufanani na jina ulilojipa wenye jina hilo lugha ya kiswahili haiwapi tabu kuandika kama wewe eti "luga"
sawa mkuu lakini usifanye kusudi kuliandika neno hilo hivyoKumbe ulielewa namaanisha nini kwanini kupoteza muda?