Baada ya malalamiko ya muda mrefu, hatimaye Serikali imeanza kutoa motisha kwa Walimu wa Sayansi

Mimi ninachojua mdogo wangu alimaliza mwaka juzi kidato cha nne tulipotaka kumpeleka diploma ya ualimu alikosa vigezo hadi awe na cheti cha form six chenye E na S.
Ila cha ajabu chuo cha afya alipata diploma kwa D nne za form four tu.
Kumbe vigezo vya diploma ualimu ni vikubwa kuliko afya.
Afya kuzuri sn
 
Mbona walimu wenye shahada wanaoajiriwa vyuoni huanza na scale ya mshahara ya daraja E, wakati huo huo mwl mwenye shahada akipelekwa shule za sekondari anaanzia scale ya mshahara ya daraja D na hakujawahi kuwa na mgogoro ingawa wanafanana kwa kila kitu kuanzia course walizosoma, maandalizi hadi kiwango cha elimu....??
Leo tu walimu wa sayansi kuongezewa kitu kidogo ndo iwe nongwa na chanzo cha mgogoro...?

Acheni nongwa...
Mbona hakuna kilichoongezwa sasa?
 
Nadhani yeye anamaanisha likizo za muhula wa masomo.

mwezi wa 3---likizo wiki 2

mwezi wa 6---likizo mwezi 1

mwezi wa 9----likizo wiki 2

mwezi wa 12---likizo mwezi 1

pamoja na kwamba mwl anakuwa na likizo mara moja kwa mwaka ila hata hizo likizo za masomo anakuwa anapompumzika
Umewaza kusahihisha na kupanga matokeo au hizo unazodai anapumzika hafanyi hayo niliyoyaandika?
 
Nijuavyo ni kwamba, kwenye taaluma zingine, waajiriwa wapya wanaanza ama na Daraja D au E, kwa mfano Mchumi Daraja D au Mtaalamu wa Kompyuta Daraja E. Hawa wote wanakuwa ni fresh graduate, tofauti ni kwamba D ni wale wa taaluma zinazotokana na masomo ya sanaa na social science wakati Grade E ni wale wa kisayansi.

Kwa upande wa ualimu, kuna TGTS D na TGTS E. Sasa huoni kuna utofauti hapo? Na usisahau, haya yalitokea baada ya kuonekana uhaba wa walimu wa sayansi sasa katika kuwa-encourage watu, ndo hapo wakabadilisha madaraja na walimu wanafunzi kuahidiwa mkopo 100%.
Si kweli, Mwalimu wa sayansi na wa art wote wapo kwenye scale moja ya mshahara.
 
Si kweli, Mwalimu wa sayansi na wa art wote wapo kwenye scale moja ya mshahara.
Viongozi wenu maboya! Scales za mishahara zilibadilishwa kitambo kwa watumishi WOTE!!! Na walifanya hivyo ili kuvutia wanafunzi kwenda kusomea ualimu wa sayansi
 
Back
Top Bottom