comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,939
Hii ni dalili ya wazi kwamba Mh Rais kaamua kutetea kwa nguvu zote rasilimali za Taifa kwa kuanza na Madini na mikataba yake ya hovyo na hatimae mwanga wa matumaini na matunda kuanza kuonekana, eneo jingine muhimu ni mbuga za Wanyama, utalii, misitu na vitalu vya uwindaji ambako yamkini ni ndugu wa damu na madini na mikataba ya hovyo kama dada yake makinikia.