Baada ya Madini, Mbuga za Wanyama na Utalii mjiandae

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
Hii ni dalili ya wazi kwamba Mh Rais kaamua kutetea kwa nguvu zote rasilimali za Taifa kwa kuanza na Madini na mikataba yake ya hovyo na hatimae mwanga wa matumaini na matunda kuanza kuonekana, eneo jingine muhimu ni mbuga za Wanyama, utalii, misitu na vitalu vya uwindaji ambako yamkini ni ndugu wa damu na madini na mikataba ya hovyo kama dada yake makinikia.
 
Halafu tunaenda kwenye uvuvi bahari kuu daah pale napo kuna funza wengi kiasi
 
Back
Top Bottom