Baada ya madereva wenye vyeti fake kutimuliwa Ajali za STK, STJ, SU na DFP zimeshamiri

Hawana majina ni Madreva wasiojulikana? Na wakiochukuliwa hizo nafasi hawajulikani?!!!! Walikoajiriwa haijulikani!!!!! Ili tutumie hizo taarifa kuhakiki ukweli wa maneno yako?
We unawajua madereva na taasisi zote nchini mpaka unataka uhakikishe?
 
Madereva darasa la saba wengi walianzia kuendesha enzi zile za barabara za vumbi Dodoma Mwanza. Pia kutokana na kuwa na elimu ndogo walikuwa wanyeyekevu sana hali iliyochangia kuendesha kwa umakini. Hawa mnaowaita wasomi ndo wanajifanya wajuaji na kukimbiza magari kiasi cha kusababisha ajali. Udereva hauhitaji kuwa na elimu ya kidato cha nne.
Dereva awe Kidato cha Nne,
Kisha Mbunge ajue tu kusoma na kuandika,
Hii kali kuliko.
 
Nacholiona hapa kila baada ya wiki 3 lazima gari ya.serikali ipate ajali na kuua

My take haya ni masononeko na laana ya familia zilizopoteza kibarua na wanapolala njaa hamuwezi kuwa salama na hii itaendelea hadi katika bila kujali cheo cha mtu watu wanalia kazi za udereva nikazi za kuitaji ujuzi na maarifa na sikuhitaji kwenda chuo kikuu maana akiwa ameenda NIT anaouwezo.wakulijua gari hawa wazee mlio wafukuza laana yaje haitwaacha salama nasema hapa Serikali yangu iliteleza.
Ikubali ilipitiwa.
 
Hakuna Mahusiano na ajari mkuu,let prays for our believed one who lost their life in those accidents.
Poleni kwa familia na tunaomba ajari zisitokee tena ktk jina la Yesu.
Amen,
#Tujenge Tanzania mpya.
 
Hakuna cha maana wala nin....umekosa cha kuandika ndg.. Imani km hii isiniingie kichwa mwang
 
Hakuna Mahusiano na ajari mkuu,let prays for our believed one who lost their life in those accidents.
Poleni kwa familia na tunaomba ajari zisitokee tena ktk jina la Yesu.
Amen,
#Tujenge Tanzania mpya.
#Ajali
*Ajari
 
  • Thanks
Reactions: BAF
Hakuna Mahusiano na ajari mkuu,let prays for our believed one who lost their life in those accidents.
Poleni kwa familia na tunaomba ajari zisitokee tena ktk jina la Yesu.
Amen,
#Tujenge Tanzania mpya.
Kuendesha gari siyo tuu kushika usukani Barabarani. There is something more than that.
Driving skills !!!!!
 
pale unapomuheshimu anapoandika ujinga ajari haina uhusiano na laana za hao wazee kama wana nguvu za mrtindo huo watumie kupata kazi sehemu nyingine.
 
Hakuna Mahusiano na ajari mkuu,let prays for our believed one who lost their life in those accidents.
Poleni kwa familia na tunaomba ajari zisitokee tena ktk jina la Yesu.
Amen,
#Tujenge Tanzania mpya.
Nianze kwa kuwapa pole wafiwa. Back to the topic... Kazi ya udereva ni kujua kuliendesha gari plus kulijua gari in and out. Hii thru experience tumeona hata std seven wakiimudu vema, Infact sometimes kuliko hata form four. Sasa kwenye Zoezi la vyeti hii kada ilipaswa kuwa treated differently, kwa kuifuata zaidi ujuzi wao kuliko vyeti. Possibly hoja ya mleta uzi ni kwamba baada ya madereva wengi kufukuzwa Ikabidi waajiriwe wa mwendo kasi wenye vyeti but little experience....
 
Nacholiona hapa kila baada ya wiki 3 lazima gari ya.serikali ipate ajali na kuua

My take haya ni masononeko na laana ya familia zilizopoteza kibarua na wanapolala njaa hamuwezi kuwa salama na hii itaendelea hadi katika bila kujali cheo cha mtu watu wanalia kazi za udereva nikazi za kuitaji ujuzi na maarifa na sikuhitaji kwenda chuo kikuu maana akiwa ameenda NIT anaouwezo.wakulijua gari hawa wazee mlio wafukuza laana yaje haitwaacha salama nasema hapa Serikali yangu iliteleza.
Ikubali ilipitiwa.
Serikali yetu ni sikivu naamini ipo siku watafanya maamuzi kama waliyoyafanya kwa watendaji wa vijiji waliokuwa wamewafukuza kwa sababu ya wao kuwa drs la saba
 
Back
Top Bottom