Baada ya machinga wa kichina kutakiwa kuondoka Tz, ubalozi wa China wapiga stop viza

Hallo can you see this words au keyboard yangu inaandika maneno invisible..... naomba mwenye jibu anijibu post ya #16.
 
Haya ni maajabu, Baada ya serikali kutangaza ktk vyombo vya habari kuwa machinga wa kichina waondoke, Ubalozi wa china umepiga stop viza kwa raia wote wa Tanzania wanaotaka.

Yaani hawa wachina tayari walishaona ni haki yao kuvunja sheria!! kweli T.I A. Yaani wataka kulazimisha wafanye biashara kinyume na sheria!!

Hivi huyu waziri wetu tuliyempa dhamana ya kushughulikia mambo haya ina maana hana taarifa.

Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza

Ubalozini kwao pale Dar es salaam pia hawatoi viza labda uwe mtu wa serikali. Sasa kama huu ni utaratibu mpya kwa nini wizara isiwatangazie Watanzania kuwa utaratibu wa kwenda china umebadilika kuliko kuwaacha watu wakitaabika na kupoteza muda ubalozin i, Huu ni ujinga. Waziri anayehusika anasemaje,

Habari yako inamgongano kidogo. Unasema sasa ni miezi minne watu hawapati visa lakini tamko la waziri kuhusu wachina wamachinga kuondoka limekuwa mwezi huu. Labda kama kweli kuna kunyima visa kutakuwa kuna sababu nyingine na inawezekana serikali inajua ndio maana nayo imeamua kuwaondoa machinga wa kichina.
 
Nimemuuliza jamaa mara tatu sijui haoni comments zangu?? labda wewe atakujibu.
 
Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza

Mkuu unasema huu ni mwezi wa nne... kwani wamachinga wa china walifukuzwa lini?.... Hapa labda tunajumlisha moja na moja na kupata tatu.... am sure mtu ukinyimwa visa huwa kuna sababu je hao jamaa wanapewa sababu gani?

Mkuu major naomba unijibu

well.....
 
VOR sio kila mtu ana access ya internet 24/7 kwa hiyo ndio maana inachukua muda kwa baadhi ya wadau kujibu.
Ubalozi wa china umetafutwa kuhusiana na hizi tuhuma?
 
Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza

VOR sio kila mtu ana access ya internet 24/7 kwa hiyo ndio maana inachukua muda kwa baadhi ya wadau kujibu.
Ubalozi wa china umetafutwa kuhusiana na hizi tuhuma?

Sikatai kwamba labda kuna ugumu wa kupata visa sasa ila muhusika anasema sababu ni kwakuwa machinga wamefukuzwa TZ, wakati huo huo anasema ugumu wa Visa ulianza tangia miezi minne iliyopita. Am sure hawa watu tangu waambiwe kuondoka hata miezi miwili haijapita.
 
Sasa wanawafukuza ili nini? Ili sisi tufanye biashara hizo? Na kama hatuna mitaji je? Wawafukuze watupe na mitaji tukave maeneo... Serikali ya china imeshow love kwa watu wake
 
Sasa wanawafukuza ili nini?

hakuna nchi duniani ambapo immigrant ataruhusiwa kufanya kazi ambayo mzawa anaweza kuifanya.... hata ukiomba work permit hautapewa, labda kazi hiyo iwe ina uhaba.... Je kuna uhaba wa machinga......?

Ila issue ya topic hapa sio kufukuzwa na mtoa mada anadai eti watu wamenyimwa visa sababu machinga walifukuzwa..
 
Major naona uwiano wa muda wa kuzuia viza na tamko la waziri(tz) haviendani. Umesema viza hazitoki huu mwezi wa 4? na Nyalandu katoa tangazo lake 3 weeks ago. Inakuwa vipi hapa?
 
Haya ni maajabu, Baada ya serikali kutangaza ktk vyombo vya habari kuwa machinga wa kichina waondoke, Ubalozi wa china umepiga stop viza kwa raia wote wa Tanzania wanaotaka.

Yaani hawa wachina tayari walishaona ni haki yao kuvunja sheria!! kweli T.I A. Yaani wataka kulazimisha wafanye biashara kinyume na sheria!!

Hivi huyu waziri wetu tuliyempa dhamana ya kushughulikia mambo haya ina maana hana taarifa.

Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza

Ubalozini kwao pale Dar es salaam pia hawatoi viza labda uwe mtu wa serikali. Sasa kama huu ni utaratibu mpya kwa nini wizara isiwatangazie Watanzania kuwa utaratibu wa kwenda china umebadilika kuliko kuwaacha watu wakitaabika na kupoteza muda ubalozin i, Huu ni ujinga. Waziri anayehusika anasemaje,
Kuna mchanganyiko kidogo hapa! Umesema viza ya kwenda China haipatikani karibu miezi 4 sasa. Tangazo la kuondowa Machinga wa kichina limetoka wiki mbili zilizopita. Sasa nani alianza na nani aliefuatia kati ya vitendo viwili hivi? Kwa mujibu wa taratibu za mahusiano ya kimataifa inawezekana ikawa Tanzania ndio inalipa (reciprocacy) tendo la kunyimwa viza Watanzania na sio kinyume chake!
 
Haya ni maajabu, Baada ya serikali kutangaza ktk vyombo vya habari kuwa machinga wa kichina waondoke, Ubalozi wa china umepiga stop viza kwa raia wote wa Tanzania wanaotaka.

Yaani hawa wachina tayari walishaona ni haki yao kuvunja sheria!! kweli T.I A. Yaani wataka kulazimisha wafanye biashara kinyume na sheria!!

Hivi huyu waziri wetu tuliyempa dhamana ya kushughulikia mambo haya ina maana hana taarifa.

Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza

Ubalozini kwao pale Dar es salaam pia hawatoi viza labda uwe mtu wa serikali. Sasa kama huu ni utaratibu mpya kwa nini wizara isiwatangazie Watanzania kuwa utaratibu wa kwenda china umebadilika kuliko kuwaacha watu wakitaabika na kupoteza muda ubalozin i, Huu ni ujinga. Waziri anayehusika anasemaje,

Sio kweli viza mbona zinatoka na mimi juzi tu nimepata jumatatu naenda kuchukuwa ya miezì 6, document zako zikiwa vizuri amna tatizo,sema pale ubalozini kuna usumbufu sana kuhusu barua za mualiko na bank statment, sasa hivi watu wengi wanataka viza sababu mwezi ujao kuna CHINES HOLIDAY wanafunga viwanda na kazi china amna kwa hiyo watu wengi wanaenda ubalozini kwa siku wanachukuwa watu 30 tèna inabidì saa 12 asùbui uwe ubalozi upate no ya kuingilia.
 
wachina bana.., wajanja sana huyu jamaa kawalongoshea wamachinga wa kichina... na wao wamemlongoshea ubalozi.. sasa kanyimwa viza...
 
Watanzania sita, wakiwemo wasanii wawili wa maigizo, wamefungwa Magereza mawili ya Hong Kong nchini China baada ya mahakama kuwakuta na hatia ya kujihusisha na biashara ya ukahaba, Ijumaa linakuwa la kwanza kukujuza.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, wabongo hao, wamefungwa kwenye Magereza ya Lai Chi Kok na Tuemun ambayo ni maalum kwa wafungwa wanawake

Watanzania hao, ambao wanatumikia kifungo cha wiki sita gerezani ni Jack aliyewahi kuwa Muigizaji wa Kundi la Sanaa la Kidedea akijulikana kwa jina la Safina, Maua ambaye naye amewahi kuwa msanii wa maigizo (kundi halijajulikana) na Tina Mkongo aliye maarufu kwenye Club za Jolly na Ambiance za jijini Dar.

"Jack ni yule Safina ‘alikuwaga' Kidedea, tena hivi karibuni tu amecheza filamu ya ‘Inye', msanii mwingine anaitwa Maua, huyu sijui alikuwa kundi gani, na hao wengine niliokutajia," kilisema chanzo kimoja.

Wengine waliokamatwa katika awamu ya pili ya msako huo ni Esther Nyonyo, mwingine alitajwa kwa jina moja la Agness wa Mwanza na Diana maarufu kwa jina la ‘Joka Jeusi' wa jijini Dar es Salaam.

Hawa wote, habari zinasema, walidaiwa kufanya vitendo vya ukahaba kwenye klabu maarufu za Jiji la Hong Kong nchini humo, kitu kilichoelezwa kuwa ni kinyume cha sheria za nchi hiyo.

Klabu maarufu zinazofanyiwa operesheni hiyo ni pamoja na Traffic, Fenrick, Escape, Amazon, Bullidog, Club 29 na Zunk.

Hawa wote walikuwa wakifanyia mambo yao klabu zile kubwa kubwa kama nilivyozitaja, si unajua tena China kwa sasa wageni ni wengi tena wana fedha zao," kilisema chanzo.

Hivi karibuni ilidaiwa kuwa, Serikali ya China ilichoshwa na kukithiri kwa biashara ya ukahaba hivyo kukodisha kikosi maalum kutoka nje kwa lengo la kuitokomeza.

Kikosi hicho cha watu hamsini, kimetoka Scotland na Ireland ambapo inasemekana kimekuwa kikitekeleza operesheni yao kwa kujifanya wateja wa biashara hiyo na kuwanunua makahaba na kuwapeleka hotelini kwa lengo la kujiridhisha kwa ushahidi.

Habari zinasema zoezi hilo linaendelea licha ya makahaba wengi kukimbilia nchi jirani za Singapore na Malaysia kwa lengo la kujiokoa na ‘kamata kamata' hiyo.
Baadhi ya wasanii wa Bongo wanadaiwa kwenda China mara kwa mara kwa ajili ya kufanya biashara halali huku kukiwa na madai ya kujihusisha na biashara ya ukahaba pindi wanapokuwa nchini humo.

Jitihada za kuwapata Mawaziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Tanzania, Mhe. Bernard Kamilius Membe (pichani juu) na Yang Jiechi wa China zinaendelea ili kuzungumzia sakata hilo.:frog:

source:gpl
 
lakini hawa jamaa wanapata vipi kiburi, inamaana kuwa nchi kuwa shamba la bibi, ndo nawao waje bila utaratibu.
 
Back
Top Bottom