Baada ya Machi 23, ADF tumefikia wapi?

Mwanagenzi

JF-Expert Member
Sep 11, 2006
723
241
Hivi karibuni majeshi yetu kule DRC, chini ya mwavuli wa UM, yalianza rasmi, kwa mara ya pili, mapambano dhidi ya kikundi cha ADF. Mashambulizi hayo yameanza siku chache baada ya tarehe 23 Machi, ambayo ni tarehe lile kundi la M23 lilianzishwa. Hata hivyo, M23 walisambaratishwa miezi kadhaa iliyopita.

Kuna mwenye habari juu ya maendeleo yetu mpaka sasa katika awamu hii dhidi ya ADF?
 
Back
Top Bottom