Baada Ya Maandamano Ya Kupinga Bush Sasa Tufanye Ya Kupinga MAFISADI

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,315
3,987
Ndugu wa Tanzania wenzangu, kwa kipindi cha miongo 2 tumeona Viongozi wetu wakifanya UFISADI uliotukuka at Our Expense.
Sasa Kwa Kuwa ni sisi tunao umia na VIONGOZI wanakingiana kufua, au wanalindana Nao sasa Ni wakati MUUFAKA wa Kuandaa MAANDAMANO tukipinga Ufisadi na TUKITAKA Serekali ichukue hatua DHIDI ya Raisi MStaafu Benyamini Williamu Mkapa na Wenzie, MAANA BWM anajifanya Yeye ni Kiziwi, Na JK wa Sasa Anachelea kumchukulia Hatua
 
Nafikiri hayo maandamano yatakuwa na nguvu kama yakiwa ni ya wananchi kujitokeza kwa wingi mwaka 2010 kupigia kura chama mbadala na si CCM ili CCM ikae pembeni kidogo.

Lakini hali hii itategemea na hali ya sasa ya kisiasa kwamba je wananchi wamejifunza nini? hasa baada ya kujiuzuru bwana Lowasa na raisi kuchagua baraza jipya la mawaziri.

Ila maandamano yakichukuliwa tu kwamba ni kuandamana kutoka kusikojulikana A mpaka kusikojulikana B yanahitaji uangalifu.
 
Ni kweli maadamano lazima yawe na Tangibles. Yawe na quatifibles. Yawe timed!! kujiuzulu kwa Lowasa na kusherehekea kwa kutizama TV jinsi mambo yanavyoedelea pale bungeni etc inamsadinia nini mwananchi aliyepandishiwa bei ya umeme, furaha na shangwe zinazotoka magazeti na vyombo vya habari kwa Kum_down Lowasa et al ina effect gani kwa mlamala hoi anayeendelea kuchangia vijisenti vyake kule TANESCO..:Kwa wizi uliofanywa na mafisadi.

Hakika lazima tuandamane kuwa hatutaelewana mpaka New PM na Presdent wake Watangaze kinaganaga kuwa BEI YA UMEME IMEPUNGUZWA kwa 25% kwa Mafisadi kurudisha hela yote pale jengo kuu la TANESCO. Hilo lifanyike In two weeks time!! Tunaweza kuchangia iwe zaidi au pungufu ya 25% au hilo linayike lini.

Kama Its true kuwa kuna watu Wamejiuzulu kwa upoteaji wa FEDHA HIZO... hiyo effect sisi wanachi haituhusu kwa mijadala ya bungeni ..na mabaraza mapya kutegenezwa..Hiyo ni kazi yao na wanalipwa kwa kufanya hivyo. Wangetakiw a wafanye hivyo siku zote... Tunachotaka Hela yetu irudi... na Bei ya umeme ipungue very siginificantly!! Hakuna kubaibaishana kwani hao waliojiuzulu nini kiliwapelekea kufanya hivyo? Jibu ni laini tu!! Wamekamatwa wizi. They have stolen from wanchis pockets...Sasa hakuna kujiuliza hela za kuchangia mapunguzo ya umeme zitakoka wapi...!! Wezi hao wazirudishe....LEO!!!! na Kwa interest stahili..hata kama ni kuuza mali zao....TUANDAMANE KWA HILO....Maramoja, Warudishe fedha TANESCO kuanzia mwezi wa 5..sikukuu ya wafanyakazi..bei nafuu ya umeme iwe imesha tangangazwa!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom