Baada ya M4C kutinga Mtwara, wabunge wa huko waanza kushtuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya M4C kutinga Mtwara, wabunge wa huko waanza kushtuka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njaare, Jun 5, 2012.

 1. N

  Njaare JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wana Jamvi,

  Leo katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku ya redio one wametangaza kuwa waziri wa TAMISEMI bi Hwa Ghasia alikuwa jimboni kwake akigawa hati miliki za ardhi ili wakazi wa jimbo hilo waweze kuzitumia kupata mikopo.

  Je huu ni mpango alikuwa ameuanza au ni danganya toto baada ya M4C kutinga mtwara?
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Wanasiasa ni watu wajinga sana. Alikuwa wapi hapo kabla kugawa? mvvvvvvvv!!!!!!!
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 3. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  huyo wala hana sumuu.....
   
 4. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mshirikina tu hana lolote,kachezea koki kashalowa
   
 5. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mikopo toka benki gani iwakopeshe wakulima wachovu kwa mfumo huu wa sasa?
   
 6. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  jimbo langu hiloooo.


  kushney , hana mvuto"""'!""""
   
 7. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mwenzake Wa sheria si alikuwa anagawa sanda? Hii ni hatari. Bado wa Kigamboni aliyejisahau kabisa. Barabara mbovu, maji hakuna, umeme shida, madiwani na wenyeviti hawaonekani, wee waache tu wasubirie MFC!
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Si ndiye alikuwa anawatishia wakiuliza maswali?
   
 9. T

  THE DONN Senior Member

  #9
  Jun 3, 2016
  Joined: Aug 13, 2014
  Messages: 113
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Prof. Anna tibaijuka anaongea ukweli kabisa. Mama tibahijuka nimkweli sana na hapendi ubaguzi was kijinsia wala itikadi wala dini. Anapenda usawa kwa wrote.
  Mungu akutangulie mama prof. Wetu mzalendo wa Tanzania
   
Loading...