Baada ya Lema kuomba michango ya nauli ya "Kuzunguka Dunia Nzima," Sasa kuna tisheti za "He's Not a Terrorist" 🤔

Noely Msuya

New Member
Jan 10, 2014
2
20
Chama cha siasa kinachoamka asubuhi na habari ya katiba mpya jioni kinaamka na habari ya Heisnotaterorist hata hatuelewi mwelekeo ni upi chama ambacho kinamtegemea mtu mmoja asipokuwepo chama kizima kinapoteza nguvu, halafu mnakuja mnataka mpewe nchi.

Mnashangaza zaidi mnapokuja na hoja ya taifa kua maskini na kulamu kuhusu tozo halafu badae mnapitisha michango. Nchi hii bado haijaweza kuwa na chama cha upinzani subirini kwanza.
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,690
2,000
Niliwahi kuleta mada hapa,nikakuelezea rangi yako halisi kuwa wewe uko CCM ,na huko Scotland upo kikazi,na ni Snitch mzuri mno,na ni Hatari sana kwa wapinzani,nilipoiweka hiyo mada ulikuja juu sana.
Sasa hivi unazidi kujiumbua mwenyewe, yaani wewe Bro ni Bonge la Mataga.
Kuna mpinzani anayeweza kuandika kejeli dhidi ya Haki? Unajidhalilisha sana humu hujui tu.
Watu wameshakujua kuwa wewe ni Taga pure.
 
Escrowseal1

JF-Expert Member
Dec 17, 2014
2,580
2,000
Chama cha siasa kinachoamka asubuhi na habari ya katiba mpya jioni kinaamka na habari ya Heisnotaterorist hata hatuelewi mwelekeo ni upi chama ambacho kinamtegemea mtu mmoja asipokuwepo chama kizima kinapoteza nguvu, halafu mnakuja mnataka mpewe nchi.

Mnashangaza zaidi mnapokuja na hoja ya taifa kua maskini na kulamu kuhusu tozo halafu badae mnapitisha michango. Nchi hii bado haijaweza kuwa na chama cha upinzani subirini kwanza.
Haaa haaaa .Tobo Rais, Lema waziri mkuu, heche waziri wa mambo ya Ndani, msigwa waziri wa mambo ya nje?
 
Sarri

JF-Expert Member
May 25, 2018
702
1,000
Niliwahi kuleta mada hapa,nikakuelezea rangi yako halisi kuwa wewe uko CCM ,na huko Scotland upo kikazi,na ni Snitch mzuri mno,na ni Hatari sana kwa wapinzani,nilipoiweka hiyo mada ulikuja juu sana.
Sasa hivi unazidi kujiumbua mwenyewe, yaani wewe Bro ni Bonge la Mataga.
Kuna mpinzani anayeweza kuandika kejeli dhidi ya Haki? Unajidhalilisha sana humu hujui tu.
Watu wameshakujua kuwa wewe ni Taga pure.
Mkuu huo uzi uliandikaga upo kwenye list ya nyuzi zako? Nataka niusake
 
Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
2,349
2,000
Yaani aliyetupa jina la Nyumbu alitupatia.

Yaani mwenyekiti amekamatwa, yupo ndani na kapewa kesi kubwa SISI TUPO BUSY KUTENGENEZA TISHETI BADALA YA KUPAMBANA.

Watanzania ni viumbe wa tofauti sana.
Wakati wenu huu MaCCM fanyeni mnavyotaka , na semeni mnavyo jisikia.
Majeshi yote ni mali ya CCM kwa raha zenu.
Ila mkifa msituhubirie usengeusege wenu , msitubanie pua na kuremburia macho , eti tuwe wamoja.
Mkomee huko huko .. pumbavu kabisa kabisa.
 
Pac the Don

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
1,049
2,000
Yaani aliyetupa jina la Nyumbu alitupatia.

Yaani mwenyekiti amekamatwa, yupo ndani na kapewa kesi kubwa SISI TUPO BUSY KUTENGENEZA TISHETI BADALA YA KUPAMBANA.

Watanzania ni viumbe wa tofauti sana.
Kiumbe tofaut niww usijumuishe wote, nikuulize swal.. ulitaka cdm wapambane kule gerezan wateke gereza ili wamtoe mwenyekit kwa nguvu? Au wavamie mahakam wamchukue kwa nguvu? Issue ipo kisheri ww unataka wapambane 🤣🤣🤣🤣🤣🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Tua Ngoma

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
2,669
2,000
Wakati wenu huu MaCCM fanyeni mnavyotaka , na semeni mnavyo jisikia.
Majeshi yote ni mali ya CCM kwa raha zenu.
Ila mkifa msituhubirie usengeusege wenu , msitubanie pua na kuremburia macho , eti tuwe wamoja.
Mkomee huko huko .. pumbavu kabisa kabisa.
Kama wewe ni kijana ni hasara kwa Chama na hasara kwa taifa hili,Vijana wa CHADEMA siku hizi uwezo wa kiakili umepungua sana.
Hakuna serikali inaweza sikiliza demand za chama chenye vijana dhaifu kama wewe.
Tutaishia kupiga kelele mtandaoni na kuombea watawala vifo kama vile Mungu ni mjomba wetu.

Mimi nimejiunga CHADEMA kabla hujaacha kunisaidia kwenye pot, na nipo sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom