Baada ya kuzomewa Bukombe, Kikwete aunda mtandao mpya!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Mtandao mpya wa JK ni:-

Mwenyekiti-JK

Katibu- Salma Kikwete

Mjumbe Ridhiwani Kikwete

Baraza la ushauri

Yusufu Makamba

Januari Makamba

Abdul Mohamed Aziz

Mzee Rukhsa
 
Ijumaa bado haijafika mkuu
hii ishu ni kweli lakini?
tupe credibility yake pls
 
Kaazi kweli,Mama Imelda Marcos na Captain Kongolo kama tulivyotarajia wamo ndani na hivyo kukifanya chama cha CCM kuwa cha kifamilia?Mkuu wa Mkoa Aziz nae yumo na matusi yake kwa kuwatukana Albino?
 
Chama gani ambacho Mwenyekiti wake alikuwa baba mkwe, halafu alipoondoka mkwe akachukua kiti? :becky:
 
Kumbukeni JK aliwahi kusema u-Rais wake hauna ubia na mtu yeyote! Labda alikuwa ana maana hiyo. Kwamba ni ubia wa kifamilia na maswahiba wachache! Jamani kinachonitisha sio hiyo staili ya kampeni, ila AHADI LUKUKI ANAZOTOA. Eti katika muda wa miaka mitano tu atajenga reli kutoka Dar hadi Mwanza....! Ile reli ya wakoloni kutoka Tanga hadi Arusha vipi imekufa? Ujenzi wa Reli wa miaka mitano tena kwa fedha za Serikali sijapata kuona katika nchi za Afrika! Tusubiri tuone. HILO ZIGO LA AHADI ZISIZOTEKELEZWA ATAACHIWA NANI NDANI YA CCM AHANGAIKE NALO? Maana kuna daraja la Kigamboni, meli mpya ziwa victoria, meli mpya ziwa nyasa, mabarabara ya lami mengi mpaka vijijini kama kule Lupembe, Njombe!
 
Kumbukeni JK aliwahi kusema u-Rais wake hauna ubia na mtu yeyote! Labda alikuwa ana maana hiyo. Kwamba ni ubia wa kifamilia na maswahiba wachache! Jamani kinachonitisha sio hiyo staili ya kampeni, ila AHADI LUKUKI ANAZOTOA. Eti katika muda wa miaka mitano tu atajenga reli kutoka Dar hadi Mwanza....! Ile reli ya wakoloni kutoka Tanga hadi Arusha vipi imekufa? Ujenzi wa Reli wa miaka mitano tena kwa fedha za Serikali sijapata kuona katika nchi za Afrika! Tusubiri tuone. HILO ZIGO LA AHADI ZISIZOTEKELEZWA ATAACHIWA NANI NDANI YA CCM AHANGAIKE NALO? Maana kuna daraja la Kigamboni, meli mpya ziwa victoria, meli mpya ziwa nyasa, mabarabara ya lami mengi mpaka vijijini kama kule Lupembe, Njombe![/QUOTE

Kibeka Senzela, tafadhali kuwa kama "mbayuwayu" Sasa hivi muungwana anatafuta kura kwa wadanganyika ili abaki ikulu. Baada ya 2015 itakula kwetu. Hatakuwepo kwenye mchakato wa urais hivyo hakuna wa kumuliza mbona hatuoni Mv Bukoba mpya, mbona hakuna barabara ya lami au international airport pale Bukoba na Kigoma etc. Ahadi anazotoa ni danganya toto. There is neither an aorta or vein of truth in his many promises.
 
Back
Top Bottom