Baada ya Kuzidiana Ujanja Chama cha Mapinduzi wilayani Ilala Dar kimeamua kumuita Mkaguzi wa Ndani kuchunguza tuhuma za ufisadi wa sh Milioni 60

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
ccm.jpg

Chama cha Mapinduzi(CCM), wilayani Ilala mkoani Dar es salaam, kimeamua kumuita Mkaguzi wa Ndani kuchunguza tuhuma za ufisadi wa sh. Milioni 60, zilizotolewa kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Ukonga, uliofanyika Septemba 16, 2018.
 
Usitarajie watatoa mrejesho, na wakitoa; basi usitarajie kuwa kuna mtu atachukuliwa hatua za kisheria.
 
Back
Top Bottom