Baada ya kuwekwa mahabusu ugonjwa uliokuwa ukimsumbua mbowe kila ikifika siku ya kwenda mahakamani sasa umepona?

Mwaka huu kahesabiwa akiwa lupango
mandela alikaa 27 years na alitoka sembuse mbowe? mnachekwa na dunia kwa siasa za kishamba mtu aliyechaguliwa na watu na kuwa mbunge anakosaje dhamana? kwakutojua kuwa nyie na huyo anaewatyuma ni wapumbavu mnakuja kusifiana ujingaujinga hapa
 
Dhamana alipata ila alikiuka masharti ya dhamana!
 
Kila ilikuwa ikifika siku ya kwenda mahakamani tulikuwa tunaambiwa mbowe hakuhudhuria amepata udhuru wa kwenda hospital.

Na hiyo ilipelekea mpaka kutokomea ughaibuni kwenda kutafuta matibabu kisa kilichosababisha kufutiwa dhamana na mahakama.

Je, ugonjwa huo sasa umetoweka na kupona hasumbuliwi tena na maradhi maana hatusikii tena kama chairman anasumbuliwa na kile kilichomponza kufutiwa dhamana tunaambiwa ni wa buheri wa afya.

Au ni mbwembwe tu zilikuwa za kuichezea mahakama sasa imemnyoosha amepona?
Mabuku7 wote Mbowe kakutieni mimba.
 
Vipi majeraha uliyopata kutoka kwa wasiojulikana baada ya ile post yako ya kumkandia jiwe yamepona? Naona sasa huvai pampas tena. Rudia tena kama wewe mjanja.
 
Dhamana alipata ila alikiuka masharti ya dhamana!
maana ya dhamana ninn? kwanini kunakuwa na mashart ya dhamana? nani anapaswa kudhaminiwa? je watuhumiwa wote wanaweza kutoroka? sitaki sana kujua namna ulivyoipata elimu yako kama uliiba mitihani au nn nitajidl siku ikifika. ila kabla ya kuandika mipasho uwe unajitafakar kidogo.
ni hayo tuu
 
Back
Top Bottom