Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,319
Kwa miaka ya karibuni CDM wamewaweka CCM katika defensive position na kuwasulubu kisawasawa. Mara chache CCM hutumia hila dhaifu kujitengenezea mashambulizi dhidi ya CDM.
Katika hili la kudili na masalia CCM wamejitahidi kuchukua nafasi ku-attack na katika hilo wakataka kujenga atmosphere kwamba CDM imepoteza kukubalika mikoani.
Ziara ya Dr Slaa ambayo hadi sasa ni siku 3 tu umefanikiwa kuwarudisha tena CCM kwenye difending wakijitahidi kuonyesha Slaa hatafanikiwa. Lakini pia imeipoteza ziara (ya kupiga picha) ya akina Kinana.Bila kusahau kwamba timu ya Heche nayo inafanya kazi kubwa.
Napendekeza CDM ili kumaliza kazi iongeze timu mbili; timu ya Mbowe na timu ya Wabunge wengine akina Msigwa zizunguke sehemu mbalimbali nchini this soon. Lakini pia wabunge wote wengine wa CDM waanze mara moja ziara katika mikoa yao.