Baada ya kuwaweka CCM katika defensive position CHADEMA ifanye haya

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Kwa miaka ya karibuni CDM wamewaweka CCM katika defensive position na kuwasulubu kisawasawa. Mara chache CCM hutumia hila dhaifu kujitengenezea mashambulizi dhidi ya CDM.

Katika hili la kudili na masalia CCM wamejitahidi kuchukua nafasi ku-attack na katika hilo wakataka kujenga atmosphere kwamba CDM imepoteza kukubalika mikoani.

Ziara ya Dr Slaa ambayo hadi sasa ni siku 3 tu umefanikiwa kuwarudisha tena CCM kwenye difending wakijitahidi kuonyesha Slaa hatafanikiwa. Lakini pia imeipoteza ziara (ya kupiga picha) ya akina Kinana.Bila kusahau kwamba timu ya Heche nayo inafanya kazi kubwa.
Napendekeza CDM ili kumaliza kazi iongeze timu mbili; timu ya Mbowe na timu ya Wabunge wengine akina Msigwa zizunguke sehemu mbalimbali nchini this soon. Lakini pia wabunge wote wengine wa CDM waanze mara moja ziara katika mikoa yao.
 
Naunga mkono hoja! Tatizo la ZZK limekwisha! Ni wakati wa pigo kubwa, pigo takatifu la M4C kila kona! Hata ambao bado wanajadili suala hilo wataacha kwani watakosa usingizi!
 
Tuko duuuuu kweli akili yako imelala hivi kweli cdm iinyime ccm ucingizi hata wawe na timu ya watu 50 bada itabaki na RIP CHADOMO
 
Hivi unajidanganya kuwa chadema bado ina uhai kwenye siasa?

Kimenuka!
 
Tuko duuuuu kweli akili yako imelala hivi kweli cdm iinyime ccm ucingizi hata wawe na timu ya watu 50 bada itabaki na RIP CHADOMO

Chadomo itakufa (kama ipo), ila CHADEMA ipo na itazidi kuwepo. Ushahidi kuwa ccm inakosa usingizi kwa sababu ya CHADEMA angalia threads zenu nyie ccm, ni ipi isiyoitaja CHADEMA? Mbona msitaje CHAUSTA, TLP, DP au NCCR? Mbona kila uchao nyinyi ni Mbowe, Dr Slaa, Lema, Msigwa, Mnyika, Lissu na makamanda wengine na si John Cheyo, Lyatonga Mrema au Chipaka?

Njooni hapa nyie ngumbaru wa ccm mnijibu hili kama mnaweza!
 
Kwa miaka ya karibuni CDM wamewaweka CCM katika defensive position na kuwasulubu kisawasawa. Mara chache CCM hutumia hila dhaifu kujitengenezea mashambulizi dhidi ya CDM.

Katika hili la kudili na masalia CCM wamejitahidi kuchukua nafasi ku-attack na katika hilo wakataka kujenga atmosphere kwamba CDM imepoteza kukubalika mikoani.

Ziara ya Dr Slaa ambayo hadi sasa ni siku 3 tu umefanikiwa kuwarudisha tena CCM kwenye difending wakijitahidi kuonyesha Slaa hatafanikiwa. Lakini pia imeipoteza ziara (ya kupiga picha) ya akina Kinana.Bila kusahau kwamba timu ya Heche nayo inafanya kazi kubwa.
Napendekeza CDM ili kumaliza kazi iongeze timu mbili; timu ya Mbowe na timu ya Wabunge wengine akina Msigwa zizunguke sehemu mbalimbali nchini this soon. Lakini pia wabunge wote wengine wa CDM waanze mara moja ziara katika mikoa yao.

Tumekupata kamanda
 
ila hujaeleza kama hiyo bajeti ya kuzunguka nchi nzima inatoka wapi. au unafikiri n kuzunguka kama unavyozunguka uwanja wa mpira mita 400?
 
Watahangaika sana MACCM! Naunga mkono HOJA makamanda wote popote mlipo TUFANYE UTEKELEZAJI HUU. Siyo muda wa kuendelea kukaa na kusikilizia WAHUNI wachache wajiitao TEAM_MATAMKO!
 
Upo sahihi mkuu,hasa kuna kanda ya kati na kusini inayojumuisha lindi,mtwara na Ruvuma,ambayo ccm imejenga ngome huko.Katika maeneo hayo wabunge na viongozi wa kitaifa wakipiga mikutano ya mfululizo huko vijijini amini 2014 chadema itazoa viongozi wengi wa halmashauri za vijiji.Ruvuma wasiende songea mjini kwani kwa kiasi kikubwa wamejitambua.....

Mkuu, hapo kwenye nyekundu fikiria mara mbili.
 
Kwa miaka ya karibuni CDM wamewaweka CCM katika defensive position na kuwasulubu kisawasawa. Mara chache CCM hutumia hila dhaifu kujitengenezea mashambulizi dhidi ya CDM.

Katika hili la kudili na masalia CCM wamejitahidi kuchukua nafasi ku-attack na katika hilo wakataka kujenga atmosphere kwamba CDM imepoteza kukubalika mikoani.

Ziara ya Dr Slaa ambayo hadi sasa ni siku 3 tu umefanikiwa kuwarudisha tena CCM kwenye difending wakijitahidi kuonyesha Slaa hatafanikiwa. Lakini pia imeipoteza ziara (ya kupiga picha) ya akina Kinana.Bila kusahau kwamba timu ya Heche nayo inafanya kazi kubwa.
Napendekeza CDM ili kumaliza kazi iongeze timu mbili; timu ya Mbowe na timu ya Wabunge wengine akina Msigwa zizunguke sehemu mbalimbali nchini this soon. Lakini pia wabunge wote wengine wa CDM waanze mara moja ziara katika mikoa yao.
CCM wameingia kwenye mtego wa Chadema wanajihami badala ya kushambulia.
 
ila hujaeleza kama hiyo bajeti ya kuzunguka nchi nzima inatoka wapi. au unafikiri n kuzunguka kama unavyozunguka uwanja wa mpira mita 400?

Bajeti ya mkutano mmoja wa CDM haizidi laki tano wakati bajeti ya mkutano mmoja wa CCM sio chini ya milioni mia moja...
 
Naunga mkono hoja! Tatizo la ZZK limekwisha! Ni wakati wa pigo kubwa, pigo takatifu la M4C kila kona! Hata ambao bado wanajadili suala hilo wataacha kwani watakosa usingizi!

Zitto keshakufa kabisa,sasa hivi anaoza tuu.
 
hivi ushawahi kuuliza BAJETI ya nchi yako imesaidia nini kufuta UMASKINI wetu?
mkuu huko kwenye nchi ndo usinikumbushe kabisa maana ninahasira nao isiyokifani, Leo hii familia yangu wanakosa haki nyingi za msingi ikiwemo elimu kwa sababu ya hao wapuuzi.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom