Baada ya kuwaweka CCM katika defensive position CHADEMA ifanye haya

Big up Kamanda Mbowe kwa kuungana na Katibu kwenye ziara za mikoani ili kumaliza ubishi wa hawa magamba...

Bado nasisitiza timu ya wabunge, akina Msigwa... anzisheni ziara kwenye mikoa kama minne hivi kusini...
 
Back
Top Bottom