Baada ya kuvuliwa Uwaziri Mansoor amefanya hivi,,

brasy coco

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
1,489
896
Anaitwa Mansoor Yusuf Himidi alikuwa Waziri asiyekuwa na Wizara maalum na mweka hazina wa CCM kabla ya kufukuzwa kazi na Rais wa Zanzibar Dr. Ally Mohammed Shein. Na wadhifa huo kupewa bi Shawana Buheti Hassan, Mansoor anaishi Chukwani alikuwa akiwasidia Wananchi wanaoishi maeneo hayo ya Chukwani Zanzibar kwa kuweka mota inayovuta maji na kusambaza katika nyumba za wananchi, lakini baada ya kutolewa Uwaziri Mansoor kwa khasira au ameamua tu, ameitoa Mota ambayo ilikuwa ikiwasaidia wananchi kupata maji ambayo aliweka yeye kuwasaidia wananchi.

Wananchi wanaoishi katika maeneo hayo wamekuwa na shida ya maji sasa na kwalazimu kwenda umbali mrefu kidogo kufata maji, baadhi ya wanachi wamekuwa wakihoji kuwa ina maana mansour hakusaidia kwa moyo wake bali kwa kuwa alikuwa waziri so baada ya kutolewa ndo atoe mota yake?? Wamesikitika sana hata ivyo kuna Mtu amehaidi kununua mota nyingne ii kurejesha hali nzuri ya huduma ya maji.

Mansour alikuwa akisapoti Mabadiliko ya Muundo wa Muungano na kutaka Zanzibar na Tanganyika wawe na Muungano wa mkataba, ili Zanzibar ipate mamlaka yake na kuiwezesha kuwa na kiti UN pia Mansour alisema kutoa maoni yake si dhambi ila kama atapewa adhabu yeyote yupo tayri na hata ikivuliwa Uanachama CCM hatobadili Msimamo wake, amesema hajawahi hata siku moja kutamka muungano uvunjike ila anataka Muungano wa Mkataba utayoiwezesha zanzibar na Tanganyika kuwa wote wana Viti UN.

Nape alitaka Mansour arudishe Kadi kwa kuwa yupo Against na sera za CCM, Mansour hataki sera ya serikali 2 yenye kuibana Zanzibar na kuifanya ishindwe kujitegemea na kujitawala yenyewe.

Amesema Rais Kikwete alipotoa wazo lake kutaka kuweka serikali ya Umoja wa kitaifa Zanzibar wengne walipinga kwa kuhofia kupinduliwa baada ya wao kuwapindua mwaka 1964( hapa mansour anamanisha kwamba mwaka 1964 walipinduliwa Utawala wa kipemba na kuchukua Nchi waunguja lakini kuna uchambuzi wa kina hapa) lakini baada ya kuisimamisha GNU sasa wanaona matunda yake kwani hata nao CUF walikuwa wakipinga kila jema la SMZ lakini baada ya kupewa nao sasa wanasimamia yale waliyokuwa wakiyapinga na kushangilia, so baada ya kuwepo muungano wa mkataba watu wataona matunda yake japo wengne sasa hawataki kwa manufaa yao binafsi hao viongozi.
 
hiyo ni kawaida kwa wanaccm wanapokosa madaraka!umesahau malecela na masha walipokosa ubunge?
 
Hivi kisiwa cha Zanzibar nacho kinarais wake eti? Waafrika wanavyopenda madaraka mwee! Kile si sawa na kimkoa kidogo tu cha li nchi tukufu na kubwa la Tanganyika? Sasa si bora tungesema Mku wa Mkoa wa Zanzibar?

Siku hizi anandika makala pia mbona umeisahau. Nimesoma karibuni makala zake moja au mbili hivi. Walau kunamfanya pia kuonekana ni mtu anayesoma. Siasa za Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar, tehe tehe tehe.
 
Hivi kisiwa cha Zanzibar nacho kinarais wake eti? Waafrika wanavyopenda madaraka mwee! Kile si sawa na kimkoa kidogo tu cha li nchi tukufu na kubwa la Tanganyika? Sasa si bora tungesema Mku wa Mkoa wa Zanzibar?

huo ndio ulevi wa madaraka
 
Hivi Redio za Tanzania zimezuiliwa kusikika Zanzibar? Siku hizi hata radio ya Taifa hatuipati bali ile ya kidini ya Morogoro tunaipata
 
Hivi kisiwa cha Zanzibar nacho kinarais wake eti? Waafrika wanavyopenda madaraka mwee! Kile si sawa na kimkoa kidogo tu cha li nchi tukufu na kubwa la Tanganyika? Sasa si bora tungesema Mku wa Mkoa wa Zanzibar?

Kuna kisiwa kinaitwa NAURU unakijua wewe? Hem kitafute usome! Kama huijui Zanzibar muulize Samuel Sitta.
 
waungwana, nadhani ni vyema Mheshimiwa aachwe ili atumie nafasi yake vizuri, uhuru alionao ni vyema tukapata kujuwa hasa huyu ni mtu wa aina gani, we need to see thetrue colour of Ndugu yetu. alipokuwa waziri hatutkuweza kupata his true colour mana alikuwa nafanya kazi ya shemegi, pamoja na kumfahamu wakati akiwa joys conner kabla ya kuingizwa ccm. sasa acheni tupate complete profile.
 
Mpemba mbishi acha ubishi wako bwana. Sihitaji kumuuliza Samwel Sita ili niijue Zanzibar kwani ninao uwezo wakusoma, kuandika vizuri na kuelewa vizuri. Labda ingekuwa information zinazohusu Zanzibar huandikwa kwa Arabic ndio ningeshindwa na nisingemtafuta Samwel bali Seif. Kwavile nafahamu kusoma, nafahamu pia kuwa Zanzibar (Unguja) inalo eneo la about 1,500 square kilometers na ukichanganya na Pemba unapata jumla ya 2,643 square kilometers. Kwa upande mwingine, Mkoa wa Mwanza peke yake una eneo la ukubwa wa 35,187 square kilometres na hii inamaanisha unahitaji Viji-unguja zaidi ya 23 kupata Mwanza moja. Ukiunganisha Unguja na Pemba, utahitaji vi-jiunguja na pemba 13 kuipata Mwanza moja. Acha ubishi. Zanzibar haistahili kuitwa hata Mkoa. Ukubwa wake haulingani hata na baadhi ya wilaya za Tanzania Bara ila kupenda madaraka tu ndio maana eti kuna mtu anaitwa rais wa Zanzibar. Chezea waafrika wewe? Sasa eti hiyo wilaya inataka kujitenga iwe nchi? Hahahahahaha!

Kuna kisiwa kinaitwa NAURU unakijua wewe? Hem kitafute usome! Kama huijui Zanzibar muulize Samuel Sitta.
 
Kuna kisiwa kinaitwa NAURU unakijua wewe? Hem kitafute usome! Kama huijui Zanzibar muulize Samuel Sitta.

Siku ile jamaa wanachana chana muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba, kuna jamaa yangu alikuwa zazibar na mzee sitta, alinisimulia mzee alivyotoka jasho na ikabidi wakimbilie hotelini, ilikuwa hatari tupu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom