Baada ya kuukwaa Uwaziri "TYSON" sasa haoni udini ila..........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Gazeti la Habari leo linatufahamisha ya kuwa Mheshimiwa Waziri wa nchi Ofisi ya Raisi Bw. Wassira sasa haoni kuna mpasuko wa kidini ila kuna vijinyufa kwenye nyumba yetu na nyufa hizo haziwezi kuiangusha nyumba..............................

Lakini wahenga walinena..............asiyeziba ufa atajenga ukuta.............
 
Amalizie muda wake wa fadhila ya kubebwa....akapumzike acheze na wajukuuu alishapitwa wakati 10yrs back....hana analojua....muda wake umepita heri angetulia tu....awe kama wenzake walio ma bubu....akiongea jazba na kazi waliompa ya jamii na wana dini atajikaanga mwenyewe....ushauri bure!!!
 
kati ya mzigo ni hii ya bwana maguvu tai soni. maana mkwere anajua kua kaharibu.
kosa ni kumweka mtu asiye na sura ya maridhiano. kazi itakuwa kuwatisha wapinzani.:angry:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom