Baada ya kutuma vyeti Mara pili walimu wa sayansi serikali yaja na kisingizio kipya

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
Yawataka walimu hao wa sayansi watume vyeti vya kuzaliwa

Watume vyeti ya ndoa

Walimu wa shule za msingi watume nao vyeti

Ajira mpaka mwaka wa fedha 2017/18
 
Si naibu waziri wa elimu alisema zoezi halitazidi miezi 3?
 
Ambaye hajaolewa/oa?
Serikali ikiri wazi haina hela,zigo la elimu bure sio mchezo,
 
Mpaka sasa hivi sijaona ni eneo gani, wizara, au taasisi ya Serikali iliyoimara ..

Naona fujo kila mahali
 
Yaani hawa watu wanavyoongea uongo ni kama bado tupo kwenye kampeni vile,
 
Walimu ndo wanaleta umasikini na ujinga katika nchi hii kwa kuwaendekeza wanasiasa, wacha wapigwe tu. Baada ya hapo mtaambiwa mlete vyeti vya kuzaliwa vya mama na baba zenu. Malofa wakubwa
 
Back
Top Bottom