Baada ya kutoswa, Sumaye sasa ateta na viongozi wa CHADEMA

Salary Slip Mh. Sumaye sidhani kama ana mvuto wa kuongeza wapiga kura, abaki tuu huko CCM atulie maisha ni zaidi ya kuwa Raisi. Hiyo network ilishindwaji kumsaidia wakati akiwa Waziri Mkuu kufikia angalau nafasi ya tatu au ya pili kwenye kura za CCM za kumsaka mgombea wa uraisi? Dr Slaa kwa wananchi wa kawaida ambao ndio wenye ufunguo wa Ikulu ana jina kubwa kuliko huyu waziri mkuu mstaafu

Ni vizuri aje ili abwage mbinu wanazotumia CCM kuiba kura na kuvuruga upinzani..........msisahau huyu alikuwamo jikoni
 
huyu mzee ana uchu wa uraisi kama .......acje cdm kwan hakuna jipya atakaloleta kwaushauri aende adc wanamhitaj
 
Ritz oil chafu hutumiwa na wajenzi wenye pesa chache kupakwa kwenye mbao ili kuzuia wadudu wasile mbao
 
Last edited by a moderator:
Sumaye amepotea njia kwenda Chadema chama kinachopumulia oxygen sasa hv mpango mzima ni CCM anatapatapa tuuu
 
Toa taarifa kamili. Kama ulijua taarifa hiyo iko kwenye Mwananchi, afadhali usingeileta hapa.

Acha mambo ya ajabu wewe mimi kanisaidia maana nilikuwa sijui kama gazeti la Mwananchi wana habari ya hivi, mda huu nataka nikanunue gazeti
 
Hivi kazi ya oil chafu ni nini?

Something is wrong with your reasoning! Oil chafu ni wale wanaowakimbia au mnaowafukuza? kwa uhakika hamna ubavu wa kumfukuza mtu maana nyie ni wanafiki, bali humuondoa kimyakimya na kummaliza kiakili na kimwili hata kiroho!!!!!!!!!! Hata hivyo hiyo Oil chafu mnayoiita itakuja kuwacost, mna dharau sana na hamuamini kuwa there is a day! and that day will come no sooner as me and you get old!!!!!!!!!! HAlafu hiyo avatar yako we jamaa kama upo hivyo naamini ndiyo maana unapenda "the greens".
 
Na zile mali zote hajaridhika tu? Kweli kuna watu Mwenyezi Mungu aliwapa laana ya ajabu! Power mongers wanashida sana, jitu limekuwa PM kwa miaka kumi mfululizo yani hakuna cha maana alichokifanya enzi zake sasa anataka kuja kutumaliza kabisa?

Nadhani kuna haja sasa ya kuwaangalia hawa wastaafu kwa nini huwa wanataka kurudi wakati muda wao umekwisha? Kuna vitu alisahau kujiuzia kama Tanganyika pakers tulipomshitukia na demu wake Ritha Mlay alipokuwa mbunge wa kawe walitaka kupiga dili pale watu wakawastukia!:smash:
 
Something is wrong with your reasoning! Oil chafu ni wale wanaowakimbia au mnaowafukuza? kwa uhakika hamna ubavu wa kumfukuza mtu maana nyie ni wanafiki, bali humuondoa kimyakimya na kummaliza kiakili na kimwili hata kiroho!!!!!!!!!! Hata hivyo hiyo Oil chafu mnayoiita itakuja kuwacost, mna dharau sana na hamuamini kuwa there is a day! and that day will come no sooner as me and you get old!!!!!!!!!! HAlafu hiyo avatar yako we jamaa kama upo hivyo naamini ndiyo maana unapenda "the greens".

Hakufuzae akuambii toka mkuu vitendo tu, utajua kama unatakiwa au hautakiwi.
 
Ndachuwa

Mkuu na huo ndo ukweli wenyewe. Haya makapi ya CCM yabaki huko huko kwao. Kwenye post kubwa kubwa namna hii hawahitajiki CDM.
 
Last edited by a moderator:
Kateta na viongozi wa cdm wapi na ni nini kilichotetwa,habari nusunusu zinznibore bana,hebu eleza.
 
kwani Sumaye anakashifa kagani mpaka asifae chadema, ninavyo jua mimi alichafuliwa na mtandano wa kikwete mwaka 2005 alipokuja kugundua alikuwa amechelewa..moja ya tuhuma zilizo kuwa zina semwa kipindi hucho ni kuwa ameweka nje bil 3 lakini alikuja kutoa mkwara kuwa atakae andika tena nampeleka mahakamani kudai fidia ya bil 1 tangu hapo sija sikia wala kusoma gazeti lolote likiandika tuhuma hizo hivyo binafsi naamini zilikuwa za uongo..
 
Back
Top Bottom