Baada ya kutokuwaelewa, nimeamua kuachana rasmi na wanawake nguvu yote naihamishia kwenye kazi za kimaendeleo

Najaribu kukumbuka jinsi kutouππber ilivyo raha na starehe kisha nawaza na kutafakari ni nini hasa yaweza kuwa mbadala wa suala zima la kukung'uta "chiu"!!!!! ????????

HAKUNAGA aiseeeeeeeee daaaah!
 
Wanajf wegine hatupo vizuri mkuu, usilazimishe wote tuwe vizuri,

Na mapenzi ni magumu sababu wewe ulikuwa unahangaika 'kuwalizisha' badala ya 'kuwaridhisha'..!
Ni heri ubebe zege kazi ngumu kuliko kutafuta kumridhisha mwanadamu. Ni zaidi ya kazi ngumu hapa duniani.
 
kuna jamaa mmoja alianzisha uzi anaomba ushauri kuhusu Maisha...
Kuna dada mmoja (jina nimelisahau) aliongea vingi ila me nilidaka moja "wanawake piga chini watakupotezea muda" hii kauli mpaka leo huwa naiwaza iweje itoke kwa mwanamke....
Ungemuuliza vizuri akupe maana yake
 
Naona masomo yangu na machungu yangu yanaanza kufanya kazi .

Nakuhakikishia kuanzia sasa ukiwa mwanaume wa mipango yako hakika utawala kirahisi kuliko unavyo zani.
 
Back
Top Bottom