Baada ya kutoka kifungoni,nina RB namtafuta house boy wangu aliondoka na mali zangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kutoka kifungoni,nina RB namtafuta house boy wangu aliondoka na mali zangu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Sep 8, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyu alikua house boy wangu ambaye nilimuajiri kwa mkataba.Kipindi cha nyuma nilipata matatizo na kufungwa kwa siku 21,sasa nimerudi nakuta house boy wangu kakomba kila kitu,huyu alikua anaitwa mtoto six ila nasikia amebadili jina anajiita C6 .Tayari nimechukua RB Kama taratibu za awali.Ninaomba urudisha vitu vyangu vyote kabla ya hatua za kukukamata hazijafanyika
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Naomba niwe Mjumbe.
   
 3. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  mimi sisemi kitu, mwanasheria wa familia ruttashobolwa ndo nimemuachia maswala yooote, tulijipanga baada kujua mbinu zako chafu kwa kuwatuma mamluki waharibu shughuli yetu na kipenzi changu charminglady... ndo mtajua sasa jinsi mambo yanavyokwenda
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,080
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  Naona kuna mpambano hapa unataka kuanza...
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ni kiasi tu cha kurudisha vitu vyangu
   
 6. A

  ADK JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,147
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kwa hapo mi simo
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  naomba kukuuliza swali kwa niaba ya mwanasheria wa familia "ndugu mlalamikaji unaweza kuithibitishia mahakama (chitchat) kwamba my lovely huz alikuwa houseboy wako???? leta vitu vifuatavyo kama evidence
  1. mkataba wa ajira kati yako na my huz
  2. salary slip ulizokuwa unamlipia my huz
  otherwise tutakufungulia mashtaka ya kumdhalilisha my huz. mwanasheria wetu ruttashobolwa kazi imeanza kaa tayari. . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Vithibitisho vyote ninavyo mimi,kama mnajiringia huyo mwanasheria wenu wa kihaya twendeni mahakamani na mimi nitamsimamia wakati ndio sasa mpaka ukweli ujulikane..........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Wakati ndio sasa kweli siku 21 tu na jina limebadilishwa na kitumbo ndi? Think twice otherwise urudi ban kwa kuidanganya mahakama hii tukufu. Kumbuka wiki 3 ni muda mfupi sana wa kuingiza mimba na ikue mpaka vile; ebu inuka charminglady jury ikuone..
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  karibu sana jamvini......uepuke jazba humu next time hawatakuban ila watakuburn.....

  kuhusu C6 ushaumia wewe...
  tushacheza harusi...
  pilau tumekula
  beer tumekunywa....
  na ndoa ishajibu....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kaka ni boara ukakubaliana na hali halic kwan c6 ndo kashaopoa na huyo chaming tayari kashakua mama kijacho
   
 12. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  mwenye kisu kikali ndo hula nyama, tulia na maumivu yako bwana wakati ndio sasa. tafuta mnyonge umlipizie
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mwambie huz!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Wewe ninani kwa wakati ndio sasa? Na kama kuna mkataba wewe ninani kwenye mkataba? Kwangu mimi ninge nachukulia third party to that invalid contract of yours!

  Contract is considered invalid if has no consent of both party!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  njaa!njaa kitu kibaya sana!
   
 16. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  huo ndio ukweli,eti siku 21,wamebadili jina na naskia eti mimba,umekua uyoga?
   
Loading...