Ukali wa Rais Magufuli na msimamo wake mkali sana kwa wapinzani wake kisiasa umewafanya wengi kurudi nyuma kwa hofu ya kuumizwa. Tunakumbuka ile kauli yake ya kuwa mie sijaribiwi, kauli ya msini-drive, wakileta fyokofyoko etc zilivyowaigipesha wengi.
Miongoni mwa wanasiasa wachache waliokuwa wakithubutu kummyooshea vidole Rais ni Mhe Goddess Lema na mhe Tundu Lissu. Lakini alichofanyiwa cha kukaa gerezani zaidi ya miezi minne, akiangalia Mbowe kishafirisiwa na usumbufu anaoendelea kufanyiwa Lissu, kuna uwezekano mkubwa sana akawa sio yule Lema tumjuaye mwenye misimamo mikali.
Na dalili zishaanza kujitokeza kwenye mazungumzo yake ya jana! Magu ajiandae kupata kura 85% 2020