Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kuhamia CUF, Lwakatare atikisa Bukoba Mjini. Wananchi wakanyagana mkutanoni

Alichokisema lwakatare jana ni ukweli mtupu,akili za machadema zimejaa plastiki kwao uzushi na uongo ni sera za chama.Ona huyu pimbi anavyokurupuka,huo ni mkutano wa lwakatare? Nini tofauti ya akili zako na za nguruwe pori( ngiri)?Lwakatare ndio baba wa siasa za bukoba,nyie manyumbu wa chadema lazima mkae.
Pimbi, nguruwe pori, ngiri, manyumbu, in one sentence!!! Sisi siyo wabaguzi, mbaguzi ni mzungu anayetuita Nyani!!
 
Back
Top Bottom