Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,138
- 22,509
Mimi Pancho nilipewa mchongo na mshkaji mmoja mbongo mwenzetu aliyepo huko kwa madiba. jamaa aliniambia kuwa kuna club wanahitaji dj na pia yeye ni producer studio inaitwa fo** record so niende tukapige kazi.. so nikawaza .niache huu mtihani mtihani nilio resit?? Je niende huko kwa madiba? usalama wangu vp? Au ndo niende nikale shaba nipotelee mbali??
Siku za karibuni hapa kitaani akarudi mchizi mmoja jina lake sitomtaja.. huyu aliendaga huko na yule mshkaji alienipa mchongo na walikuwa wanakaa maghetoni wote!
Kwanza jamaa alinionesha kovu kwenye bega! Alipigwa shaba!
Jamaa akanambia ni bora nibaki hapa bongo kule hapafai japo hela ipo lakini ni kwa michongo sio!. Nikamuuliza kuhusu ile issue ya club kama nilivoambiwa na yule mchizi je ni kweli??
Akasema ule ni uzushi tuu walikuwa wanataka niende then nikifika wananitema! ili nami nionje msoto!.
kwa hiyo nimeamua niendelee na pepa langu huku nikiendelea na issue za mziki. hapa hapa bongo kwa nzi wa kijani!
sisemi vijana tusiende sauzi kutafuta maisha ila uende ukiwa na uhakika!
"Pancho boy "