Baada ya kutaka kwenda Sauzi(bondeni).sasa nimeghairi baada ya kugundua haya...

Hahaha ile midude yao mkuu wazulu wana miwezere IG kuna hili cindy_makhathini ni hatari
yaani mzee natamanigi nami nikaigize isidingo mzee 😂😂 inaonekana wale waigizaji isidingo wanakulana sana mzee?? 😂 afu me niwekee pics ya huyo manzi wa kizulu
 
yaani mzee natamanigi nami nikaigize isidingo mzee 😂😂 inaonekana wale waigizaji isidingo wanakulana sana mzee?? 😂 afu me niwekee pics ya huyo manzi wa kizulu
Bob yupo instagram we ingiza tu user name hio utamkuta wezeree la kutosha...
 
Back
Top Bottom