Baada ya kususia hotuba ya JK sasa operesheni sangara ya ghafla kufanyika nchi nzima

eliesikia

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
787
755
Baada ya kususia hotuba ya JK sasa operesheni sangara ya ghafla kufanyika nchi nzima.. Hii surprise na aksante kwa wananchi wa TZ... Watakaa kikao ili waweze kutueleza wananchi jinsi gani kura ziliibwa...

Nawasilisha!!
 
Thats great, hasa ukizingatia kuwa WHATS GOES AROUND COMES AROUND.... CCM na CUF wasidhani kuwa yataisha hivihivi.
 
CUF has decided to be submisive
 
naipenda CHADEMA, jamani naipenda sana, ni chama ambacho kinaendeshwa kisomi
 
Baada ya kususia hotuba ya JK sasa operesheni sangara ya ghafla kufanyika nchi nzima.. Hii surprise na aksante kwa wananchi wa TZ... Watakaa kikao ili waweze kutueleza wananchi jinsi gani kura ziliibwa...

Nawasilisha!!

Kilicho tufanya tushindwe uchaguzi ni kutokuwa na mtandao wa kutosha hasa vijijini , hilo ndilo viongozi wetu wanatakiwa kufanya. Sasa kama kutafanyika mikutano nchi nzima hiyo peke yake ni gharama kubwa, kwa nini hizo pesa zisitumike kujenga matawi vijijjini ?. Kwa mwendo wa hii mikutano tu tuna safari ndefu ya kuchukua hii nchi, THINKTWICE !
 
ThinkTwice,
I beg to differ. Hatukushindwa uchaguzi. Tulishindwa kulinda ushindi wetu kwa sababu NEC inadhibitiwa na CCM.
 
Ilo la kuwa na mtandao nchi nzima unaokwenda mpaka kwenye kaya ni sawa, lakini utekelezaji wake unaweza kwenda sambamba na hiyo operation sangara
 
ThinkTwice,
I beg to differ. Hatukushindwa uchaguzi. Tulishindwa kulinda ushindi wetu kwa sababu NEC inadhibitiwa na CCM.

Jasusi:

When did you join CHADEMA? It seems to me that the neutrality of JF is already gone.
 
Baada ya kususia hotuba ya JK sasa operesheni sangara ya ghafla kufanyika nchi nzima.. Hii surprise na aksante kwa wananchi wa TZ... Watakaa kikao ili waweze kutueleza wananchi jinsi gani kura ziliibwa...

Nawasilisha!!

Wewe haya umepayapata wapi? Tupe source ya hii habari. Watu wengi waliojiunga na forum hii (sijasema wote) wakati wa kampeni za uchaguzi wanakuja na post za ajabu ajabu lengo ni kutuumiza vichwa tu. Sijui wako kwenye payroll ya mafisadi?

Tiba
 
nmh chadema ilishindwa japo c kwa kiasi hicho badala ya kuzunguka kueleza namna gani waliibiwa kura watumie fungu hilo kuwawezesha viongozi wao wa mikoa wakishirikiana na wabunge wa maeneo husika au mikoa jirani wapeleke ujumbe otherwiz ni kujitafutia mizunguko isiyo na tija
 
Wewe haya umepayapata wapi? Tupe source ya hii habari. Watu wengi waliojiunga na forum hii (sijasema wote) wakati wa kampeni za uchaguzi wanakuja na post za ajabu ajabu lengo ni kutuumiza vichwa tu. Sijui wako kwenye payroll ya mafisadi?

Tiba
Unataka source au unataka uone kitakachotokea... Kapige ramli tuu utaona nilipopata
 
mkuu ndiba hakuna nguvu ya soda hapo ni mwendo mwanzo hadi mwisho

Sas hivi Watanzania wengi sana wanataka mabadiliko.
Wameshagundua usanii na ubinafsi unaofanywa na ccm hivyo jitihada zikiongezwa nina uhakika mafisadi watang'olewa kwa kishindo kikuu.
Umoja na mshikamano ni muhimu zaidi.
Cuf wameshajitoa kwenye mapambano sasa wamebaki askari wa ukweli.
Comandoo mmoja wa chadema ni sawa na askari mia moja wa cuf.
 
Duh! ama kweli Chadema wamepania.. lakini sijui kama CCM watakubali, na natanguliza tahadhari kwani huu ndio unaweza kuwa cheche za Mageuzi.
 
Kilicho tufanya tushindwe uchaguzi ni kutokuwa na mtandao wa kutosha hasa vijijini , hilo ndilo viongozi wetu wanatakiwa kufanya. Sasa kama kutafanyika mikutano nchi nzima hiyo peke yake ni gharama kubwa, kwa nini hizo pesa zisitumike kujenga matawi vijijjini ?. Kwa mwendo wa hii mikutano tu tuna safari ndefu ya kuchukua hii nchi, THINKTWICE !

kwa mwenye mtazamo wa ndani zaidi ni mwanachama wa haki bila kuutetea udhumaji
lazima atatofautiana na wewe kama ninavyotofautiana hapa
labda awe pandikizi la ccm ndani ya chadema japo siamini kama wwalio wengi
wanaamini kama mimi ninavyoamini kuwa Chadema kwa kiasiki kikubwa kama
si uchakachuaji
 
Elisekia, kama itakuwa ni kweli hii itasaidia sana kwani vyombo vyenyewe vya habari hasa tv wangeweza kurusha hewani, ingesaidia kuwafikia wengi pia. Lakini walivyo?! Ntaiunga mkono mia kwa mia wakienda kwa wanachi kwa mtindo huo wa kukutana nao ana kwa ana! Ndiyo gharama za demokrasia eti!
 
Jasusi:

When did you join CHADEMA? It seems to me that the neutrality of JF is already gone.
Zakumi my friend,
I just got back from Bongo. I have not officially joined CHADEMA. But I am a supporter. I volunteered as a wakala in the just finished election and I have learned a lot of things from the experience.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom