Baada ya kususia hotuba ya JK sasa operesheni sangara ya ghafla kufanyika nchi nzima.. Hii surprise na aksante kwa wananchi wa TZ... Watakaa kikao ili waweze kutueleza wananchi jinsi gani kura ziliibwa...
Nawasilisha!!
ThinkTwice,Kilicho tufanya tushindwe uchaguzi ni kutokuwa na mtandao wa kutosha hasa vijijini , hilo ndilo viongozi wetu wanatakiwa kufanya. Sasa kama kutafanyika mikutano nchi nzima hiyo peke yake ni gharama kubwa, kwa nini hizo pesa zisitumike kujenga matawi vijijjini ?. Kwa mwendo wa hii mikutano tu tuna safari ndefu ya kuchukua hii nchi, THINKTWICE !
ThinkTwice,
I beg to differ. Hatukushindwa uchaguzi. Tulishindwa kulinda ushindi wetu kwa sababu NEC inadhibitiwa na CCM.
ThinkTwice,
I beg to differ. Hatukushindwa uchaguzi. Tulishindwa kulinda ushindi wetu kwa sababu NEC inadhibitiwa na CCM.
Baada ya kususia hotuba ya JK sasa operesheni sangara ya ghafla kufanyika nchi nzima.. Hii surprise na aksante kwa wananchi wa TZ... Watakaa kikao ili waweze kutueleza wananchi jinsi gani kura ziliibwa...
Nawasilisha!!
Unataka source au unataka uone kitakachotokea... Kapige ramli tuu utaona nilipopataWewe haya umepayapata wapi? Tupe source ya hii habari. Watu wengi waliojiunga na forum hii (sijasema wote) wakati wa kampeni za uchaguzi wanakuja na post za ajabu ajabu lengo ni kutuumiza vichwa tu. Sijui wako kwenye payroll ya mafisadi?
Tiba
mkuu ndiba hakuna nguvu ya soda hapo ni mwendo mwanzo hadi mwisho
Kilicho tufanya tushindwe uchaguzi ni kutokuwa na mtandao wa kutosha hasa vijijini , hilo ndilo viongozi wetu wanatakiwa kufanya. Sasa kama kutafanyika mikutano nchi nzima hiyo peke yake ni gharama kubwa, kwa nini hizo pesa zisitumike kujenga matawi vijijjini ?. Kwa mwendo wa hii mikutano tu tuna safari ndefu ya kuchukua hii nchi, THINKTWICE !
Zakumi my friend,Jasusi:
When did you join CHADEMA? It seems to me that the neutrality of JF is already gone.