Baada ya kusoma historia ya Ayman wa al qaeda nakubaliana na wote wanaoamini Mbowe siyo Gaidi!

Unakaa hapo sebuleni kwa shemeji yako na remote mkononi unaanzisha Uzi....

Wewe na wajinga wenzio ndio mulikuwa mstari wa mbele kushangilia kifo Cha Gaddafi na Sadamu Hussein.....Ayman hata akifa Usa lazma ichapike tu..Hilo Taifa la dhulmat
 
Wewe shemeji yako anakaa nyumbani kwako na dada yako!
 
Kwani ile kesi ya ugaidi alishinda , au alisamehewa?
Jibu : Alisamehewa

Hivi unaweza kusamehewa kwa kosa sio lako?
 
Nimeusoma wasifu wa Kiongozi wa Al qaeda aliyeuwawa na Wamarekani juzi Dr.Ayman

Kiukweli jamaa alitisha na mission zake zilikuwa hatari tupu

Nilichojifunza ni kwamba Ugaidi ni Imani na falsafa

Itoshe tu kusema Mbowe siyo Gaidi
Mbowe ni gaidi wa nyuchi na pesa za chadema
 
Nimeusoma wasifu wa Kiongozi wa Al qaeda aliyeuwawa na Wamarekani juzi Dr.Ayman

Kiukweli jamaa alitisha na mission zake zilikuwa hatari tupu

Nilichojifunza ni kwamba Ugaidi ni Imani na falsafa

Itoshe tu kusema Mbowe siyo Gaidi
Mkuu tutupie A, B za uyo mwamba a.k.a mvaa makobasi
 
Unakaa hapo sebuleni kwa shemeji yako na remote mkononi unaanzisha Uzi....

Wewe na wajinga wenzio ndio mulikuwa mstari wa mbele kushangilia kifo Cha Gaddafi na Sadamu Hussein.....Ayman hata akifa Usa lazma ichapike tu..Hilo Taifa la dhulmat
Nani wa kuichapa usa..naona unaota magaidi yote lazima yauawe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom