Baada ya kushindwa Gaza Wabunge wa Israel wahoji aibu iliyopata Israel hadi wanajeshi kutiwa mateka na Hamas

Bwana kimsboy....dounia nzima ilisimama na gaza kwa kichapo ilichopewa wewe unapindisha maneno
 
Lazima tutofautishe vita na mechi za michezo
Hapo tunaongelea watu Wamekosa makati, kupata vilema vya kudumu na Kupoteza maisha. Sio Nani lashings nani kashindwa.
 
Kwa hiyo unataka kusema miungu ya kigeni imemaliza Vita vyao?

Allah amemshindaje Jehovah? Hebu fafanua maana tulikuwa tunaona Allah akipigwa kwelikweli.

Hebu tupe takwimu za vifo na majeruhi wa pande zote mbili
Kha 😹😹😹😹
 
Back
Top Bottom