Museveni anaweza kutumia lugha ya aina hiyo? Anyway, kama ni kweli basi kawapa ujumbe ulio dhahiri. Ni ndoto za alnacha au wendawazimu kabisa kutegemea kumshinda kwa kura mgombea aliye ikulu ambaye ndiye mmiliki vyombo vya dola kwenye nchi zetu hizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.