Baada ya kushinda kesi CAS Bernard Morrison anataka kuishtaki Yanga SC kwa kufoji sahihi yake katika Usajili

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)

Baada ya Yanga SC nao Kupenyezewa hii taarifa ambayo kama kweli Bernard Morrison ataenda Kushtaki itakuwa mbaya kwa Viongozi wao, Wadhamini wao na hata Timu yao hivi sasa kuna Wazee Waandamizi na wenye Busara wanajiandaa kwenda Kuuona Uongozi wa Simba SC ili walimalize hili Kibinadamu na kwa Utani wa Simba na Yanga kwani limekaa vibaya mno Kwao.

Kwa mujibu wa Watu wa karibu na Mchezaji Bernard Morrison taarifa inasema kwamba Uongozi wa Yanga SC kwa Kushirikiana na Wadhamini wao (tena Yule mwenye Kiherehere) walimtafuta Mtaalam wa Kufoji sahihi za Watu (maarufu na wakubwa) na Wakafoji sahihi yake.

Hivyo basi katika Kupunguza Makali ya Mchezaji Bernard Morrison na Hasira Kali alizonazo kwa Klabu ya Yanga tayari kuna 'Mropokaji' wao Mmoja anaenda Kupigwa 'Pini' ya Kutoiongelea Simba SC akiwa anawasilisha Taarifa za Yanga SC na kwamba hata huko Mitandaoni pia apunguze 'Kuwazodoa' Watu wa Simba SC kwani linaweza Kusababisha Hasira na hatimaye Viongozi wa Simba SC wakamtia Ndimu huyo Mchezaji na akaenda Kuwashtaki kweli.

Baadae KEROZENE ilinilazimu niende mbele zaidi Kuhoji kama Yanga SC ikishtakiwa kwa Kosa la Jinai la Kufoji sahihi ya Mchezaji Bernard Morrison itakuwaje Kimpira nikaambiwa kuwa endapo Kesi hiyo itasikika CAF na FIFA kwenyewe kwa Sheria zao ni kwamba Klabu ya Yanga SC itahukumiwa miaka mingi Kucheza / Kushiriki Michuano yoyote ile na Viongozi wao (wake) nao Watafungiwa Maisha Kujihusisha na Mpira wa Miguu.

Namalizia tu kwa kusema kuwa KEROZENE mara kwa mara nimekuwa nikiitaka Serikali (hasa Wizara) kupitia Waziri Bashungwa, BMT kupitia Boss wao Singo na Watu wa TAKUKURU na hata TISS kuimulika Kiumakini Yanga SC na Wadhamini wao GSM kwani kuna Siku wataiponza Tanzania (nchi) ila sieleweki na naonekana kama Kituko fulani ila kuna dalili fulani si nzuri naziona na Siku yakiibuka mabaya ninayoyatabiri mtakuja kunipigia Saluti.
 
Benard Morrison Hana jeuri hiyo, Tff wali ingizwa Cha kike na imetunika fedha nyingi ilo Jambo kwisha kwa namna lilivyo kwisha. Kabla ya kwenda CAS shauri lake jipya Inabidi lianzie Tff, Jambo ambalo Tff hawataki hata kusikia ishu zake.
 
Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)

Baada ya Yanga SC nao Kupenyezewa hii taarifa ambayo kama kweli Bernard Morrison ataenda Kushtaki itakuwa mbaya kwa Viongozi wao, Wadhamini wao na hata Timu yao hivi sasa kuna Wazee Waandamizi na wenye Busara wanajiandaa kwenda Kuuona Uongozi wa Simba SC ili walimalize hili Kibinadamu na kwa Utani wa Simba na Yanga kwani limekaa vibaya mno Kwao.

Kwa mujibu wa Watu wa karibu na Mchezaji Bernard Morrison taarifa inasema kwamba Uongozi wa Yanga SC kwa Kushirikiana na Wadhamini wao (tena Yule mwenye Kiherehere) walimtafuta Mtaalam wa Kufoji sahihi za Watu (maarufu na wakubwa) na Wakafoji sahihi yake.

Hivyo basi katika Kupunguza Makali ya Mchezaji Bernard Morrison na Hasira Kali alizonazo kwa Klabu ya Yanga tayari kuna 'Mropokaji' wao Mmoja anaenda Kupigwa 'Pini' ya Kutoiongelea Simba SC akiwa anawasilisha Taarifa za Yanga SC na kwamba hata huko Mitandaoni pia apunguze 'Kuwazodoa' Watu wa Simba SC kwani linaweza Kusababisha Hasira na hatimaye Viongozi wa Simba SC wakamtia Ndimu huyo Mchezaji na akaenda Kuwashtaki kweli.

Baadae KEROZENE ilinilazimu niende mbele zaidi Kuhoji kama Yanga SC ikishtakiwa kwa Kosa la Jinai la Kufoji sahihi ya Mchezaji Bernard Morrison itakuwaje Kimpira nikaambiwa kuwa endapo Kesi hiyo itasikika CAF na FIFA kwenyewe kwa Sheria zao ni kwamba Klabu ya Yanga SC itahukumiwa miaka mingi Kucheza / Kushiriki Michuano yoyote ile na Viongozi wao (wake) nao Watafungiwa Maisha Kujihusisha na Mpira wa Miguu.

Namalizia tu kwa kusema kuwa KEROZENE mara kwa mara nimekuwa nikiitaka Serikali (hasa Wizara) kupitia Waziri Bashungwa, BMT kupitia Boss wao Singo na Watu wa TAKUKURU na hata TISS kuimulika Kiumakini Yanga SC na Wadhamini wao GSM kwani kuna Siku wataiponza Tanzania (nchi) ila sieleweki na naonekana kama Kituko fulani ila kuna dalili fulani si nzuri naziona na Siku yakiibuka mabaya ninayoyatabiri mtakuja kunipigia Saluti.
Najua hata yanga akifungiwa utaumia sana mama yetu weee, maana kutwa kuiongolea!ila mkizodolewa na manara mnataka huruma za takukuru
 
Mwambie afungue iyo kesi ata kesho kwani anachelewa nini
 
😂
 
Back
Top Bottom