Baada ya kupitia historia ya siasa ya Afrika,nimegundua 80% ya nchi za Afrika ni majimbo ya nchi za Ulaya na Marekani na marais ni kama ma Governor Tu

ryan riz

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
422
675
Leo nimepitia karibu nchi zote za afrika historia ya siasa zao na namna uongozi unavyopatikana nchi hizo..kimsingi nchi zetu hata zile ambazo zinaonekana zimetulia hazina vita vya wenyewe kwa wenyewe ujue kuna nguvu kubwa nyuma wanasaidiwa na hizi nchi za kimagharibi pamoja na marekani kwa kiasi kikubwa na pia ma`Rais wao ni watiifu sana kwa nchi za ulaya na marekani hufuata kile wanachoagizwa na hata pia husaidiwa kuwapoteza wale wanaonekana kuwa tishio katika utawala wao.

Nchi zile ambazo zinamigogoro au vita za wenyewe kwa wenyewe nazo serikali/watawala hutegemea kusaidiwa na nchi hizo hizo kunusuru utawala wao kuanguka na cha ajabu zaidi waasi wa nchi hizi za afrika nao pia hutegemea nchi za ulaya na marekani kuipindua serikali iliyopo madarakani.Hivyo yoyote akaeshinda vita anakuwa governor wa nchi ya magharibi iliyomsaidia mfano:Governor(Rais) wa jimbo la Tanzania afrika la Marekani

Kingine nilichogundua china ni mfanyabiashara mjanja sana na mnafki kwa nchi za afrika,nchi yoyote yenye uhusiano nayo hasa biashara huweza kuigeuka haraka kama haijui pale inapoingia kwenye vita,mara chache hutema mkwara mwanzoni kwa nchi zinazochochea vurugu hizo na baadae kuicha wamalizane wenyewe ili atakae shinda aendelee kufanya nae biashara...(katika kumbukumbu zangu za kusoma bado sijaona nchi yoyote ya afrika china aliyeweza kuisaidia kutoka mikono mwa nchi za magharibi na marekani kwa vitendo tena bila kificho)

kifupi hakuna nchi huru Afrika na itachukua miaka 100 kuwa huru pale mataifa ya magharibi na marekani yatakapopoteza ushawishi na nguvu Duniani..

Hivyo usishangae kumuona mtawala anapowaponda nchi hizi ila maji yakizid unga hupiga magoti kuziomba msaada nchi hizi pia...,

Na wapinzani wa watawala nao kuziponda hizi nchi za magharibi namna zinavyonyonya nchi zao na wakishirikiana na watawala wao.Hii hupelekea kupata umaarufu kwa wananchi wao,ila na wao wakibanwa kwa kifinyo na watawala wao huenda kwa nchi hizi hizi za magharibi kuomba kusaidiwa na KUAHIDI KUTOA DONGE NONO ZAIDI WA LILE WANALOPEWA NA WATAWALA WANAOWASULUBU ILI NA WAO WAKIINGIA MADARAKANI WALIPIZE KISASI NA SIO KUWALETEA MAENDELEO WANANCHI WAO TENA.........KIFUPI HATUJIELEWI WAAFRIKA NA HAKUNA MWENYE UNAFUU WOTE VIBARAKA TU IWE KWA WAZI AU KIFICHO
 
Ndio yanayoendelea sasa hv duniani
 
Hahaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom