Baada ya kupima H.I.V, Khadija simtamani tena

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
2,114
1,485
Habari za muda huu wana MMU,
Mnamo miezi miwili iliyopita nilifanikiwa kutekwa na pepo la ngono kupita kiasi kana kwamba nilijitolea kufa ama kupona ili mradi tu niuridhishe mwili wangu ,
Kwa wafuatiliaji wa Nyuzi zangu humu wanajua masaibu yaliyonikuta kwa binti myaturu khadija na sitaki nikumbushie tena manake nilipotoka siwezi kurejea ,

Baada ya kuleta nyuzi za huyo binti humu na uchafu tulioufanya wengi walinishauri baada ya muda wa kama miezi miwili au mitatu niende hosipitali nikajue afya ,

Sikuweza kuamini masikio yangu kuwa im H.I.V NEGATIVE!
Sichepuki tenaaa.
Niite Baba Gabriel!
 
Mnapoambiwa mbaki njia kuu, mnachukulia mzaha mzaha tu.
Michepuko haina faida ndugu. Na kwenye issue km hiz papuchi hugeuka na kuwa chungu
Bahati yako, zimwi lilikuwa limeshiba damu
 
Wanaume 7kati ya 10wanachepuka cha muhimu mtumie kinga ndo mmeumbwa hivyo hivyo mnatesa familia zenu kwa kuwaacha mayatima
 
Habari za muda huu wana MMU,
Mnamo miezi miwili iliyopita nilifanikiwa kutekwa na pepo la ngono kupita kiasi kana kwamba nilijitolea kufa ama kupona ili mradi tu niuridhishe mwili wangu ,
Kwa wafuatiliaji wa Nyuzi zangu humu wanajua masaibu yaliyonikuta kwa binti myaturu khadija na sitaki nikumbushie tena manake nilipotoka siwezi kurejea ,

Baada ya kuleta nyuzi za huyo binti humu na uchafu tulioufanya wengi walinishauri baada ya muda wa kama miezi miwili au mitatu niende hosipitali nikajue afya ,

Sikuweza kuamini masikio yangu kuwa im H.I.V NEGATIVE!
Sichepuki tenaaa.
Niite Baba Gabriel!
Zile thread za juzi ndo miezi miwili tayari imepita?subiri baada ya miezi mitatu tena ukapime ndio uje hapa na tambo..
 
Wanaume wanachepuka zaidi kuliko wanawake lakini wanawake waathirika ni wengi kuliko wanaume, kulikoni?
 
AGE IS JUST A NUMBER..H.I.V IS JUST A PAPER WITH RED BLOOD COLOR
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom