fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,309
- 2,719
Amepiga makombora nayametua katikati ya kambi yake. Yameua watu 80. Lakin mambo mengine ni mbinu za kijeshi. Hawawezi kukupa idadi yawatu waliokufa itakuwa ni aibu Sasa ili kulinda udhaifu ndio maana wanasema hakufa mtu kwamaana hiyo mule kuna mende ndio wanaishi waliouawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anauliwa generali wako mkubwa tu, halafu wewe unaenda kutupa mayai viza nje ya ukuta wa nyumba yake aliyojenga maili zadi ya 8000 kutoka anakoishi halafu unasema umelipiza kisasi? Pumbavu!
Sent using Jamii Forums mobile app