Baada ya kupigwa na Iran, Marekani inabadili goal post

Amepiga makombora nayametua katikati ya kambi yake. Yameua watu 80. Lakin mambo mengine ni mbinu za kijeshi. Hawawezi kukupa idadi yawatu waliokufa itakuwa ni aibu Sasa ili kulinda udhaifu ndio maana wanasema hakufa mtu kwamaana hiyo mule kuna mende ndio wanaishi waliouawa.
Anauliwa generali wako mkubwa tu, halafu wewe unaenda kutupa mayai viza nje ya ukuta wa nyumba yake aliyojenga maili zadi ya 8000 kutoka anakoishi halafu unasema umelipiza kisasi? Pumbavu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamaae si mlikuwa mnashangilia shoga Trump alivyokuwa anatoa vitisho? Lakn mwanaume kajibu na kama hakuna mmarekani yeyote aliyekufa naomba basi USA aweke picha za uharibifu ili watu wajue je kwa uharibifu huo hakuna uwezekano Wa kutokea maafa?

Alizoe kushambulia bila kujibiwa sasa wanaomba kwenda mezaniView attachment 1316996

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikwambie kitu leo nimezungumza jwtz na zaidi tulikuwa tunazungumzia huu mgogoro wa iran na usa. Kiukwel iran hamuwezi Usa na wa usa wanachofanya sio inatafuta amani ila wanataka watu wapoe wapunguze mihemko ila muiran apigwe kimya kimya.
IMG-20200108-WA0013.jpg

Tazama hapo vile iran ilivyozungukwa na USA.
 
Hizo ni daika 0 tu kugeuzwa kifusi, siku hizi zama zimebadilika
Ngoja nikwambie kitu leo nimezungumza jwtz mmoja wa hapa kwetu Tz na zaidi tulikuwa tunazungumzia huu mgogoro wa iran na usa. Kiukwel iran hamuwezi Usa na wa usa wanachofanya sio iutafuya amani ila wanataka watu wapoe wapunguze mihemko ila muiran apigwe kimya kimya. View attachment 1317407
Tazama hapo vile iran ilivyozungukwa na USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikwambie kitu leo nimezungumza jwtz mmoja wa hapa kwetu Tz na zaidi tulikuwa tunazungumzia huu mgogoro wa iran na usa. Kiukwel iran hamuwezi Usa na wa usa wanachofanya sio iutafuya amani ila wanataka watu wapoe wapunguze mihemko ila muiran apigwe kimya kimya. View attachment 1317407
Tazama hapo vile iran ilivyozungukwa na USA.

Sasa ndo umeelezea nini
 
Kwani wamethubutu?
Jitoe ufahamu unayemtetea ashakubari yaishe anaomba mazungumzo yasiyo na masharti na Iran wewe uko hapa unasema sijui nini.
Deep down unajua kabisa US kashikwa makalio na Muajemi.
Waajemi siyo watu wa mchezo hata historia inatuambia hivyo
 
Haha ficha aibu wewe Iran aliweza kugundua watu wangapi wako kwenye ndege ya USA na USA alikiri wakati ule ni kweli, asigunduwe wangapi wamekufa kwenye ardhi. Afu hizo propoganda za USA kusema Iran aliwainfom au sijui wamepiga sio kwenye target wanawadanganya wajinga tu.
Hii ni mbinu ya kijeshi huwa hatukili udhaifu eti wamekufa wanajeshi wengi sana!? Hapana tutawaogopesha wapiganaji wengine waliokwenye uwanja wa vita na ambao wapo njiani kuja kwenye uwanja wa vita
 
Mwanzo Trump alisema kama Iran itaretaliate basi Marekani itagonga hadi cultural sites za Iran. Hata hivyo Iran imejibu.

Baada ya Iran kujibu, Marekani anakuja na propaganda kuwa hakufa mtu hata mmoja, Sasa swali ni Je Kambi ya jeshi lako ikipigwa hata kama hakufa mwanajeshi hata mmoja ndo hujapigwa? Kijeshi unakuwa umepigwa, maana kuharibiwa kwa vifaa vyako vya kijeshi na jeshi la adui ni kupigwa

Baada ya hapo, Marekani inakuja na hoja eti irani imepiga off target makusudi ili wasiue wamarekani, Ukweli ni Kwamba Makombora ya Irani yametua ndani ya Kambi za wamarekani, Sio nje.

Yamefanya uharibifu wa miundombinu kadhaa ndani ya kambi hizo.Hata picha za Sattelites zimeonyesha majengo kadhaa ya hizo base yakiwa yamechakazwa vibaya. Je huko ni kupiga off target?

Kiufupi ni kwamba Marekani ilidhani Iran itanywea, itaogopa, au itajibu kupitia njia nyingine zisizokuwa direct. Kitendo cha Iran kuvurumisha vyombo na kuchakaza hizo military base kimewashangaza wakina Trump na Pompeo kuwa kumbe hawa jamaa sasa wako tayari kwa lolote, ndiyo maana wakina Trump wanabadili goal post!

Kiufupi, adui akikung'uta Kambi ya Jeshi lako haijalishi kama amekufa askari hicho kitendo cha kuharibu mali tu tayari inabidi uwe msala kama kweli jeshi lilopigwa ni ngangari!

Cheki jengo moja la kambi lilivyochakazwa na makombora ya Iran

View attachment 1316594
satelite haionyeshi maiti???we bhana akili yako kisoda kweli,nikajua picha za satelaiti zitaonyesha miili imetapakaa uwanjani kumbe ni ukuta tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikwambie kitu leo nimezungumza jwtz na zaidi tulikuwa tunazungumzia huu mgogoro wa iran na usa. Kiukwel iran hamuwezi Usa na wa usa wanachofanya sio inatafuta amani ila wanataka watu wapoe wapunguze mihemko ila muiran apigwe kimya kimya. View attachment 1317407
Tazama hapo vile iran ilivyozungukwa na USA.
Mzee baba JWTZ wapasua miamba siku ya Uhuru, wakati siku hizi ni mwendo wa nukes, ma F15 na mandege yasiyo na rubani siyo tena vita ya Kagera mkuu.
Siku hizi majeshi ya wenzetu yana watu makini sana acha kabisa Iran siyo mtu wa mchezo ndiyo maana hata Mmarekani hamchukulii poa.
Siyo kwamba zikipigwa atamshinda US ila haitakuwa vita kamaya Iraq mpaka ngumi zinaisha US atakuwa na manundu hadi mgongoni pia tena hapo amewaita wale wapambe wake U.K na France wamsaidie
 
Nimeamini Duniani kuna watu WAPUMBAVU kweli. Mtu anakuja na kuvunjilia mbali nyumba uliyokuwa unaishi na familia yako. Unaacha kupambana naye eti kwa sababu hajaua hata mwanafamilia mmoja.
Hizo zitakuwa ni akili au matope?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom