Baada ya kupigwa na Iran, Marekani inabadili goal post

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,439
50,960
Mwanzo Trump alisema kama Iran itaretaliate basi Marekani itagonga hadi cultural sites za Iran. Hata hivyo Iran imejibu.

Baada ya Iran kujibu, Marekani anakuja na propaganda kuwa hakufa mtu hata mmoja, Sasa swali ni Je Kambi ya jeshi lako ikipigwa hata kama hakufa mwanajeshi hata mmoja ndo hujapigwa? Kijeshi unakuwa umepigwa, maana kuharibiwa kwa vifaa vyako vya kijeshi na jeshi la adui ni kupigwa

Baada ya hapo, Marekani inakuja na hoja eti irani imepiga off target makusudi ili wasiue wamarekani, Ukweli ni Kwamba Makombora ya Irani yametua ndani ya Kambi za wamarekani, Sio nje.

Yamefanya uharibifu wa miundombinu kadhaa ndani ya kambi hizo.Hata picha za Sattelites zimeonyesha majengo kadhaa ya hizo base yakiwa yamechakazwa vibaya. Je huko ni kupiga off target?

Kiufupi ni kwamba Marekani ilidhani Iran itanywea, itaogopa, au itajibu kupitia njia nyingine zisizokuwa direct. Kitendo cha Iran kuvurumisha vyombo na kuchakaza hizo military base kimewashangaza wakina Trump na Pompeo kuwa kumbe hawa jamaa sasa wako tayari kwa lolote, ndiyo maana wakina Trump wanabadili goal post!

Kiufupi, adui akikung'uta Kambi ya Jeshi lako haijalishi kama amekufa askari hicho kitendo cha kuharibu mali tu tayari inabidi uwe msala kama kweli jeshi lilopigwa ni ngangari!

Cheki jengo moja la kambi lilivyochakazwa na makombora ya Iran

Img-1578528845331.jpg
 
1. Iran wapige makombora, Iran hao hao wataje idadi ya waliokufa walienda kuhesabu kwa njia ipi?
2. Kwa jinsi Trump alivyojipambanua alivyo hawezi kuwa mpole kiasi hiki kama waameriika 80 wamekufa, Iran teyari ingekuwa imekuwa majivu
3. Akili za kuambiwa changanya na zako
 
Haha ficha aibu wewe Iran aliweza kugundua watu wangapi wako kwenye ndege ya USA na USA alikiri wakati ule ni kweli, asigunduwe wangapi wamekufa kwenye ardhi. Afu hizo propoganda za USA kusema Iran aliwainfom au sijui wamepiga sio kwenye target wanawadanganya wajinga tu.
 
1. Iran wapige makombora, Iran hao hao wataje idadi ya waliokufa walienda kuhesabu kwa njia ipi?
2. Kwa jinsi Trump alivyojipambanua alivyo hawezi kuwa mpole kiasi hiki kama waameriika 80 wamekufa, Iran teyari ingekuwa imekuwa majivu
3. Akili za kuambiwa changanya na zako
Ww ndo unajiona unaakili wakati punda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Iran wapige makombora, Iran hao hao wataje idadi ya waliokufa walienda kuhesabu kwa njia ipi?
2. Kwa jinsi Trump alivyojipambanua alivyo hawezi kuwa mpole kiasi hiki kama waameriika 80 wamekufa, Iran teyari ingekuwa imekuwa majivu
3. Akili za kuambiwa changanya na zako
Iran Ana maspy katika wanajeshi wa Iraq ambao wanatuma KAMBI moja na US hivo kupata hiyo idadi ni rahisi kwa Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu wote na jamii yao wanapenda sana kujisifu.

Hata vita ya siku 6 kati ya israel na waarabu redio za kiaarbu zilikua zinatangaza ushindi wakati walisha malizwa mapema kabisa na israel kuchukua 6 times ya ardhi aliyo kua nayo na nyingine hadi leo hajawarudishia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano, ukawa na hasira na mtu flani, ukawa na nia ya kumpiga mbataa balaa; Sasa ukamfata kwake, hukumkuta,, ukakuta vikombe na sahani vya udogo,, ukavivunjaaa kwa hasira! Hapo utasema umempa kichapooo baada kuvunjaa hivyo vitu???

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleza kirahisi sana kama hadithi ya sungura na fisi, Hivi kwa jinsi wamarekani wanavyojinasibu "wako vizuri" kivita ,kitendo cha kambi kupigwa bila kuzuia makombora hayo siyo udhaifu?. Je,ingekuwa shambulizi la kemikali au nuklia wangesalimika?. Ushindi/kisasi si lazima kuua tu,heshima ya USA imejeruhiwa!
 
Iran inatambua fika haina uwezo wa kupambana na Marekani na hata Marekani hawako tayari kwa Vita nyingine huko Mashariki ya Kati ila hayo mashambulio yamewafanya raia wa Iran kutuliza hasira (baada ya mauaji ya Soleimani) na kurudisha imani kwa Ayatollah na Serikali yao (baada ya zile ghasia sababu ya hali mbaya ya kiuchumi) hivyo yalikuwa ya kimkakati zaidi.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom