Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,092
Mwanzo Trump alisema kama Iran itaretaliate basi Marekani itagonga hadi cultural sites za Iran. Hata hivyo Iran imejibu.
Baada ya Iran kujibu, Marekani anakuja na propaganda kuwa hakufa mtu hata mmoja, Sasa swali ni Je Kambi ya jeshi lako ikipigwa hata kama hakufa mwanajeshi hata mmoja ndo hujapigwa? Kijeshi unakuwa umepigwa, maana kuharibiwa kwa vifaa vyako vya kijeshi na jeshi la adui ni kupigwa
Baada ya hapo, Marekani inakuja na hoja eti irani imepiga off target makusudi ili wasiue wamarekani, Ukweli ni Kwamba Makombora ya Irani yametua ndani ya Kambi za wamarekani, Sio nje.
Yamefanya uharibifu wa miundombinu kadhaa ndani ya kambi hizo.Hata picha za Sattelites zimeonyesha majengo kadhaa ya hizo base yakiwa yamechakazwa vibaya. Je huko ni kupiga off target?
Kiufupi ni kwamba Marekani ilidhani Iran itanywea, itaogopa, au itajibu kupitia njia nyingine zisizokuwa direct. Kitendo cha Iran kuvurumisha vyombo na kuchakaza hizo military base kimewashangaza wakina Trump na Pompeo kuwa kumbe hawa jamaa sasa wako tayari kwa lolote, ndiyo maana wakina Trump wanabadili goal post!
Kiufupi, adui akikung'uta Kambi ya Jeshi lako haijalishi kama amekufa askari hicho kitendo cha kuharibu mali tu tayari inabidi uwe msala kama kweli jeshi lilopigwa ni ngangari!
Cheki jengo moja la kambi lilivyochakazwa na makombora ya Iran