marcusgarvey
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 891
- 235
Hili ni swali muhimu ambalo linahitaji ufafanuzi,kama sheria ya uchaguzi inampa mpiga kura haki ya kupiga kura na kujua matokeo ya kura ktk kituo alichopigia kura,kuna tatizo gani mpiga kura kukaa umbali wa mita 200 kusubiri matokeo ya kura ytake kama sheria Inavyosema?
Hii inatia shaka kuona nec ikitaka watu warudi majumbani mwao huku ikijua wazi kuwa,mpiga kura ana haki ya Msingi kujua matokeo ya kura aliyopiga,ndio maana baada ya kuhesabu matokeo yanabandikwa ili kumpa haki aliyepiga kura na aliyepigiwa kujua matokeo sahihi ya kura
Kama sheria inasema,baada ya kupiga kura watu wakae mita 200 kusubiri matokeo,ni vyema haki hii isinyongwe,watu wasitishiwe maana ni haki yao
Kama watu wanataka ushindi wa bao la mkono wajue imekura kwao,kupata matokeo ya kura yako ktk kituo ichopigia kura ni haki yako