Baada ya kupewa makavu na IGP, Kamanda Mambosasa sasa amejifunza kuvaa!

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
Baada ya kuambiwa aache ushamba na IGP Simon Sirro, Kamanda Mambosasa Sasa ameacha ushamba wa kuvaa mavazi ya kivita kwenye press conference.

Sina hakika na viatu kama kapatia, isije ikawa kapiga sandals maana mtu kubadilika Siku 1 Siyo rahisi, tumpe muda!
IMG_20191003_082643.jpg
 
Daaaa, kweli asee yaani mzee kabadiri uvaaji kombati la kivita ila chini naona kapiga sijui raba za mazoezi au sijaona vizuri 😂 duuuu!!
 
Baada ya kuambiwa aache ushamba na IGP Simon Sirro, Kamanda Mambosasa Sasa ameacha ushamba wa kuvaa mavazi ya kivita kwenye press conference.

Sina hakika na viatu kama kapatia, isije ikawa kapiga sandals maana mtu kubadilika Siku 1 Siyo rahisi, tumpe muda!
Ngojea Mambosasa awe IGP
 
Sasa huyo bodigadi wake mbona hajambadilisha
Baada ya kuambiwa aache ushamba na IGP Simon Sirro, Kamanda Mambosasa Sasa ameacha ushamba wa kuvaa mavazi ya kivita kwenye press conference.

Sina hakika na viatu kama kapatia, isije ikawa kapiga sandals maana mtu kubadilika Siku 1 Siyo rahisi, tumpe muda!
View attachment 1222619
 
Back
Top Bottom