Baada ya kupata stroke kwa zaidi ya miaka 3 mguu umeanza kuvimba, tatizo ni nini?

If under management! im speaking from my longterm experience
Kama uko under management afu BP iko 240/? unapoteza mda wako na Hela zako au kama ndo unawatibu hivo watu unapoteza hela zao na unawaua kimya kimya....unaelewa hata kwa nini tunatibu Hypertension?

Hypertension ni silent killer....unaweza ishi na hiyo pressure na usione chochote, mpaka siku ikianua ku reveal damage ilokupa.

Which experience are you talking about?
Unaelewa mpaka mtu anapata Stroke inakua je?

The effect haiji overnight....Ni damage uloipata kwa kuishi na Uncontrolled BP.

Unaijua Target BP kwa mtu alokwisha pata Stroke inatakiwa iwe ngapi?

Guidelines za American Heart Association zinasema je?
 
Ndugu huyo yuko under medication, sijui kama tunaelewana
 
aspirin hizo za zamani hapana zina 300mg au 150mg, zinazohitajika ni junior aspirin zina 75mg. Kwa ufupi inahitajika aspirin yenye dozi ndogo.
Hauoni unaenda kumuua mzee wa watu?
Unajua kitu kinaitwa Dual Anti Platelet therapy?

Yaani unamweka mgonjwa kwenye Clopidogrel na Junior Aspirin kwa wakati mmoja?
 
Hauoni unaenda kumuua mzee wa watu?
Unajua kitu kinaitwa Dual Anti Platelet therapy?

Yaani unamweka mgonjwa kwenye Clopidogrel na Junior Aspirin kwa wakati mmoja?

Soma vizuri dawa mgonjwa anazotumia kwa sasa....afu Junior Aspirin sio dawa ya kutibu DVT labda ku prevent
 
Jitahidi pia wakat akiwa amekaa kuweka miguu juu hasa wakat wa usiku unamwekea mito kusaidia damu ku flow na pia mazoezi na massage kwenye miguu na sehem zote za mwili
 
Jana dada mmoja alinambia baba yake alipata stroke wakaenda Morogoro kumtafutia dawa za kisabato akapona kabisa...ana 86yrs huyo mzee!wa kwako bado ni mdogo inshallah Allah atamjaalia uzima
 
Jana dada mmoja alinambia baba yake alipata stroke wakaenda Morogoro kumtafutia dawa za kisabato akapona kabisa...ana 86yrs huyo mzee!wa kwako bado ni mdogo inshallah Allah atamjaalia uzima
Kwann usimpatie mawasiliano yake ili waangalie namna ya kusaidia na kwa huyu mzee pia atengamae.
 
Pole sana na kuuguza. Mzee wetu anaendeleaje kwa sasa?!
Anaendelea vizuri, tulipata dawa ya tiba mbadala, ni mchanganyiko fulani wa miti na mafuta. Mguu wake umepungua sana ila kwakuwa ulivimba mno, ngozi ya mguu inachunika kuanzia Gotini hadi nyayoni. Na leo ilikuwa clinic yake ya BP, amepata dawa za mwezi mzima.
 
Mkuu tuambiane hiyo dawa nasi wazee wetu wanapresha
 
Baba yangu alipatwa na stroke ya upande wa kushoto December 2017, tulikaa hospitali siku 26 tukaruhusiwa akiwa ameparalize upande mmoja. Toka hapo tumeendelea na clinic ya BP na kupata dawa zake kama kawaida kwasababu alikuwa na historia ya BP toka awali.

Sasa juzi alianza kutapika na kutetemeka nikapigiwa simu nikaenda. Jana akapelekwa hosp kama tarehe yake ya clinic na kuchukua dawa lakini leo nikaenda tena nimemkuta amevimba mguu aliopooza. Nimeutomasa unabonyea bila kurudi na analalamika sana kwa maumivu. Tulifanya physiotherapy mwanzo na baadae tukafundishwa tufanye nyumbani. Nilijitahidi kila weekend kwenda na kumwelekeza kijana anayetusaidia amfanyie mazoezi hayo.

Sasa kwakuwa Nina uzoefu wa kumpeleka hosp, naona dawa alizopewa clinic mbili mfululizo sizijui, ingawa clinic ya kabla ya juzi alipata kipimo Cha x-ray. Alikuwa analalamika kifua, tukaenda x-ray.

Sasa amepewa Atenol, Clopidogrel tablets na Atorin. Ambazo kwangu Ni ngeni.

Nilizozizoea mm ni Captopril (hajapewa) Bendro hii amepewa, Atovastatilin (hii hajapewa) na Ascard/Junior Aspirin nayo hajapewa.

Sorry Kama nimekosea majina ya madawa ila wataalam mtajua. Nipeni ushauri. Mzee ana Miaka 74 napenda niendelee kumwona nimemkatia BIMA na naendelea kumtibu kwa gharama zozote ili niendlee kumwona ona.
Mkuu pole sana kwa maradhi ya Mzee wako. Hebu nitafute kwa wakati wako ili nipate kumtibia baba yako maradhi yake yote ili aweze kupona. Kuhusu Hiyo Clinic BP mtatumia dawa hata zaidi ya miaka 5 sio rahisi kupona Maradhi aliyekuwa nayo Baba yako auguwe pole.
 
Back
Top Bottom