Baada ya kupata maendeleo mazuri ya Lissu, sasa tunaomba tujuzwe maendeleo ya matibabu ya dereva wake

Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,864
5,671
Habari za majukumu wana JF.

Tunashukuru kwa kupewa updates za maendeleo ya matibabu ya Mh Tundu Lissu pamoja na gharama zake.

Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua maendeleo ya matibabu ya dereva wa Mh Tundu Lissu, Kwa takribani miezi miwili sasa tangu aanze matibabu ya kisaikolojia huku Nairobi baada ya kuathirika kwa kushuhudia tukio la shambulio la boss wake live.

Tunaomba viongozi wa CHADEMA mlioko Nairobi mtujuze maendeleo yake na mpaka sasa gharama za matibabu yake yamefikia ngapi? Ikiwezekana tuambiwe fedha za matibabu yake zimetoka wapi?

Kama walivyofanya kwa mh Tundu Lissu tunaomba tena mtufahamishe maendeleo ya dereva wake na gharama zake.

Nawasilisha
 
Lissu yoko vizuri kichwani mnashindwa nini kumhoji Halafu mna taalamu ya kuhoji walio hai tu
 
Habari za majukumu wana JF.

Tunashukuru kwa kupewa updates za maendeleo ya matibabu ya Mh Tundu Lissu pamoja na gharama zake.

Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua maendeleo ya matibabu ya dereva wa Mh Tundu Lissu, Kwa takribani miezi miwili sasa tangu aanze matibabu ya kisaikolojia huku Nairobi baada ya kuathirika kwa kushuhudia tukio la shambulio la boss wake live.

Tunaomba viongozi wa CHADEMA mlioko Nairobi mtujuze maendeleo yake na mpaka sasa gharama za matibabu yake yamefikia ngapi? Ikiwezekana tuambiwe fedha za matibabu yake zimetoka wapi?

Kama walivyofanya kwa mh Tundu Lissu tunaomba tena mtufahamishe maendeleo ya dereva wake na gharama zake.

Nawasilisha
Dereva bado anawweseka hayupo tayari kwa mahojiano
 
Nia yenu ilikuwa ni kumuondoa duniani mh lissu,pumbafu
 
Hivi hapa nchini tuna shida ya ukosefu wa upeo kiasi hiki? Miezi kadhaa kimya hakuna hata kujulishwa hata zilikohifadhiwa hizo Nissan zinaxodaiwa kukamatwa watu wanahoji juu ya dereva. Kwani huyo dereva ndiye mwenye u funguo wa ufahamu wenu na intelligence yenu?
 
..Polisi waende Nairobi wakamhoji TL na dereva na wake.

.kinyume na hapo waseme kama wameweka mgomo kuchunguza tukio lile.
 
Basi, ni derva bwege! Anaweweseka kitu gani? Hajawahi kugonga mtu? Mbona madereva wanasababisha vifo vya abiria wote, na wanaingia mtaani kama kawaida.
Wewe umeshawahi kusikia mlio wa SMG ikiwa mita 5 toka ulipo ikimimina risasi mfukulizo kuelekea ulipo maishani kwako? Kwanza unaijua SMG hata kwa kuiona tu? Kama bado kaa kimya, kama kweli sema zilikupata ngapi na ngapi zilikukosa?
 
Hivi hapa nchini tuna shida ya ukosefu wa upeo kiasi hiki? Miezi kadhaa kimya hakuna hata kujulishwa hata zilikohifadhiwa hizo Nissan zinaxodaiwa kukamatwa watu wanahoji juu ya dereva. Kwani huyo dereva ndiye mwenye u funguo wa ufahamu wenu na intelligence yenu?
Wanamsubiria dereva
 
Jipime kwanza kabla ya kuuliza swari la kipuuzi kama hili
 
Back
Top Bottom