Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,864
- 5,672
Habari za majukumu wana JF.
Tunashukuru kwa kupewa updates za maendeleo ya matibabu ya Mh Tundu Lissu pamoja na gharama zake.
Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua maendeleo ya matibabu ya dereva wa Mh Tundu Lissu, Kwa takribani miezi miwili sasa tangu aanze matibabu ya kisaikolojia huku Nairobi baada ya kuathirika kwa kushuhudia tukio la shambulio la boss wake live.
Tunaomba viongozi wa CHADEMA mlioko Nairobi mtujuze maendeleo yake na mpaka sasa gharama za matibabu yake yamefikia ngapi? Ikiwezekana tuambiwe fedha za matibabu yake zimetoka wapi?
Kama walivyofanya kwa mh Tundu Lissu tunaomba tena mtufahamishe maendeleo ya dereva wake na gharama zake.
Nawasilisha