Baada ya kupata kikombe kwa babu: JK aanza kazi rasmi

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,515
20,005
aagiza wastaafu wa jumuiya ya africa mashariki walipwe mara moja,na pia amtaka mkullo akaze buti kwenye makusanyo ya mapato...thanx to loliondo atleast someone is coming back to his senses
 
wapi na wapi wewe.........ulimuona anavyoongea kwa uoga......allikuwa kwenye matembezi yake tu ya kawaida .......we zubiri uone
 
Kama ni kweli akimaliza hapo aagize na RA akamatwe, kama kweli yeye mwanamme
 
Kama nia yake ni nzuri then itaonekana kwa jinsi matamshi hayo yatakavyokuwa translated into actions; otherwise I am still pessimistic about mere statements and sentiments....typical of politicians....we want actions and not words. Kama news ingekuwa kuwa wastaafu wamelipwa hapo basi tungesema ama kweli mabadiliko...but words, jamani ni mangapi yametamka na yakabaki hivyo hivyo kuwa matamshi, maneno matupu hayavunji mfupa walisema wahenga na hawajakodea
 
Sijui kama itawezekana lakini kifupi si wastaafu tu bali ni wengi wanaoidai serikali kuanzia walimu, askari ma nurse/ ma doctor n. k nao walipwe ili haki itendeke.
 
Itabidi akaongeze dose kwa sababu kachoka kweli nuru yote imeondoka nao waliokuwa wakimsikiliza wizara ya fedha walikuwa wamenuna kama vile walilazimishwa kulikuwa hakuna connection kati ya mzungumzaji na wasikilizaji jamani watu kila mahali wanajionea tabu tuu
 
Kwa msimamo wa Loliondo dhuluma itatokomea tutaishi kama vile tupo peponi.
Tunasubiri Babu aseme kuhusu wapiga debe (madalali) wanaorusha nauli za kwenda
Loliondo, kwenye baraka za Mungu.
 
Bunge la safari hii litakuwa moto moto kwani wabunge wengi wamekwenda Loliondo kupata kikombe cha BABU!!
 
Back
Top Bottom