Cucumber and Apple umejaribu?Juice ya bamia
Bado mkuuCucumber and Apple umejaribu?
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
baada ya kula kitimoto rost na shushia konyagi ndogoMara tu baada ya kupata/Kula chakula chako Lunch au dinner unapendelea kushushia na kinywaji gani?
Binafsi napendelea kuywa Pepsi au Coke ya Baridi kabisaa.
CC Zero IQ
Tamu sana unaweka na mint kidogo na limao kwa mbali wowBado mkuu
Juice ya bamia
Si una maziwa kwanini usinywe yako?Maziwa fresh tu
Bado sijazaa mkuuSi una maziwa kwanini usinywe yako?
Nitajaribu huwa ninatengeneza carrot na cucumber ninachanganya na apple juice asubuhiTamu sana unaweka na mint kidogo na limao kwa mbali wow
Yaani siku hizi watu wamekuwa wabunifu sana ila my favourite ni spinach kwa tunda lolote
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Yaan wewe kichwa chako unakielewa mwenyeweSi una maziwa kwanini usinywe yako?